letra de ole - cherry
moyo umechoka kuteseka
(no bhana hapana)
marafiki mapenzi visa yeah
mood yangu ya kusaka pesa
sina habari nao sitaki kuboreka
(no bhana hapana)
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
tarariraaa nakudelete uende
sitaki pressure kuteseka daily
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kata, kata, kata kata kaah ta
acha niupoze moyo
nimwagilie moyo
niuridhishe moyo
nshachoka hizo ndombolo
wabaya watu, kucheza rafu
sitaki katu me nawakataa tu (no bhana hapana)
mambo ya watu, issue za watu
weka kwa kapu hapa ku party tu (oh leo leo)
najipa nafasi (ole, ole, ole)
mawazo sitaki (ole, ole, ole)
kwani sh ngapi (ole, ole, ole)
najipa nafasi (ole, ole ole)
nawa kataa, kata, kata kata kaah ta
letras aleatórias
- santanasorare › letra de fear - santanasorare
- babyblu › letra de you got me - babyblu
- noahs › letra de home again - noahs
- axel walters › letra de serve - axel walters
- gracias › letra de feel free - remix - gracias
- kizo › letra de nie ma tu łez - kizo
- murubutu › letra de zefiro - murubutu
- 3010 › letra de méchant - 3010
- rare candy › letra de oliver - rare candy
- adrianne lenker › letra de snow song - adrianne lenker