letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de yalaaaa - zuchu

Loading...

mmmmh kaniumbua umbua
anavyonidadavua
vitu flani vya kusisimua
chachambu anavyo ichambua
hunipa ning’ate ng’ate
mikato nikate kate
igande inate nate
itelezeshwe kwa matee

yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa

kanipania pania
na hajataka kuniachia
kanipania pania
na hajataka kuniachia
kama samaki hulumangia
huanza kichwa mpaka na mkia
naiomba serikali
kijana apelekwe mbali
ananifanya silali, siwazi, sitafakari

yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa
yalaaaa, yalaaaa

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...