letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mimi ni mzabibu (baba ni mkulima) - zablon k. ndale

Loading...

[s] mimi mzabibu wa kweli, mimi mzabibu wa kweli
nanyi m matawi yangu, baba yangu ni mkulima
mwenye kutunza shamba lake } -2

[s] tawi lile lisilozaa
baba yangu huliondoa, na kuliteketeza moto
[s] tawi lile linalozaa
baba yangu hulisafisha, lidumu katika kuzaa
hayo – hayo ni maneno ya bwana yesu }-2

nyinyi mmekwisha, kuwa wasafi
kwa sababu ya neno, nililowaambia
kaeni nami, ndani yangu

na mimi na mimi na mimi ndani yenu
akaaye ndani yangu, huyo atazaa
kwani nje yangu, hataweza kuzaa
kama vile nje ya mzabibu

tawi halitaweza kamwe kuzaa
maneno yangu yakikaa ndani mwenu
ombeni lolote mtatendewa
naye baba yangu atatukuzwa
na nyinyi mtakuwa wanafunzi w-ngu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...