letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de shida ndogo ndogo - whozu_

Loading...

yeeh!
unamjua dingoo
too too too much money
s2kizzy baby

sina shida ndogo ndogo
jasho langu faida kw-ngu aisee
sina shida ndogo ndogo
nadili na mishe zangu mchana usiku
sina shida ndogo ndogo
omba jero nikasirike nikupe buku
sina shida ndogo ndogo (shida) msije shtuka mkiniona

sina shida ndogo ndogo sina
sina shida ndogo ndogo sina
sina shida ndogo ndogo sina
sina shida ndogo ndogo sina(ndogo shida)

huna cha kufanya njoo kw-ngu nikupe mishe
umeshinda njaa kaa nami nikulishe
nitalipa deni nikukopeshe ukalipe
wana pesa chafu waje kw-ngu wazisafishe

asante mungu kwa baraka unanielewa
nimesha waacha sio level zao tena
ziwe mbivu ziwe mbichi n-z-menya
ndo isha kwisha sifanani nao tena

nimeridhika ona nilivyo nawiri
maisha yamechange mjomba msikariri
tambua pesa ndugu yake kiburi
shida kwa chawa wenye pesa manguli

sina shida ndogo ndogo
jasho langu faida kw-ngu aisee
sina shida ndogo ndogo
nadili na mishe zangu mchana usiku
sina shida ndogo ndogo (too much money)
omba jero nikasirike nikupe buku
sina shida ndogo ndogo (shida) msije shtuka mkiniona

sina shida ndogo ndogo sina
sina shida ndogo ndogo sina
sina shida ndogo ndogo sina
sina shida ndogo ndogo sina

sasa ni muda wa kuvimba vimba na mabunda mi simbazi
change change ni za kwenu nitake radhi
najilipaga kwa siku siku sio kwa mwezi
now you know mambo yangu top
kw-ngu kutesa ni kwa zamzamzam ishiwa pesa ukose hamhamham
pata pesa ni masham sham sham oya mambo ni bam bam bam oooh
shida zako tupa huko zikiisha niite
kwenye mchezo bado mdogo naomba usinitishe

nimeridhika ona nilivyo nawiri
maisha yamechange mjomba msikariri
tambua pesa ndugu yake kiburi
shida kwa chawa wenye pesa manguli

sina shida ndogo ndogo
jasho langu faida kw-ngu aisee
sina shida ndogo ndogo
nadili na mishe zangu mchana usiku
sina shida ndogo ndogo (too much money)
omba jero nikasirike nikupe buku
sina shida ndogo ndogo (shida) msije shtuka mkiniona

sina shida ndogo ndogo sina
sina shida ndogo ndogo sina(alelelilalila)
sina shida ndogo ndogo sina
sina shida ndogo ndogo sina

instrumental

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...