letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kiboko we - wendo musaly

Loading...

kiboko we
kiboko we we
yaani kiboko we..we we
ninacho taka kwako
nimapenzi yenye furaha
tupendane tusiachane
tuishi maisha ya furaha

mimi nakupenda honey
nipe penzi lakituuzima
nisije nikaumia
watu waka nicheka
kama nikweli wanipenda mimi
nionyeshe ili niamini
nikuvishe pete mikononi
na tufunge pingu lamaisha

mi na we mpaka mwisho wadu ni nia

kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mi ni ringe
kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mimi nipe

kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mi ni ringe
kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mimi nipe

kunamengi watasema kutuusu sisi
watajaribu kutuumiza ili tuachane
kama penzi tunalo ladhati
tupendane tusitengane eh
watatupiga maneno ya unafki
uku tukiwaonyesha upendo wa dhati yeh

kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mi ni ringe
kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mimi nipe

kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mi ni ringe
kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mimi nipe

husiniambie unanipenda
wakati hunipendi
nionyeshé, nionyeshe
ili niamini kama we niwaukweli
ninachotá ni upendo wadhati
toka moyoni mwako
nionyeshe upendo ilinifarijike mimi

kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mi ni ringe
kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mimi nipe

kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mi ni ringe
kama wanipenda babe nipe
upendo wa dhati mimi nipe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...