letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de amani - wanavokali

Loading...

hawaoni kuwa

kidole kimoja hakiwezi kuvunja chawa

bila ya kujua

kufanya kazi na wenzio kwa pamoja

tutajiinua

na mambo yote yatarudi kuwa sawa sawa

na tunapiga dua

kwake mwenyezi atuelekeze tukikosa njia

na matumaini yetu yote yakianza didimia

hatatuwacha kwenye njaa na mwishowe tutapaa

amani

amani iwe na wewe
na uzuri

uzuri wako usipotee usipoteze

amani iwe nawe, amani iwe na wewe

amani iwe nawe, amani iwe na wewe

amani iwe nawe, amani iwe na wewe

amani iwe nawe

nataka niwe mwepesi wa rohoni

saa zingine macho tu hayaoni

hivo niweke kwenye maombi

ndoto zisibaki ndotoni

nitakapotoka gizani (gizani)

na nitakaporudi nyumbani
atanipanguza machozi

sitolia kama awali

napiga dua

kwake mwenyezi atuelekeze

tukikosa njia

na matumaini yetu yote yakianza didimia

hatatuwacha kwenye njaa

na mwishowe tutapaa

amani

amani iwe na wewe

na uzuri

uzuri wako usipotee usipoteze

amani iwe nawe, amani iwe na wewe

amani iwe nawe, amani iwe na wewe

amani iwe nawe, amani iwe na wewe

amani iwe nawe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...