letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de wapi na nani? - wakadinali

Loading...

woah woah woah
ah
[chorus]
wapi na nani! wapi nani!
wapi na nani!
ngoja niwalole!
pinji ni red rose
msee ana gotha, ni ombre
ukimuok, na heda ni dibla
sisi kuslace, ka kina zari
continue show msee alituzidi
wapi na nani!

[chorus]
wapi na nani! wapi nani!
wapi na nani!
ngoja niwalole!
pinji ni red rose
msee ana gotha, ni ombre
ukimuok, na heda ni dibla
sisi kuslace, ka kina zari
continue show msee alituzidi
wapi na nani!

[verse 1]
hebu kuja kuja kuja
huku kamenuka
ka-ka! ndeng’a msee inatiririka
si ni wa kukuja tuko nyuma
huku kwetu mtaro imefura
liquor, nimefanya imeisha full half litre
tangu niwe mless mi ni mtukutu
gyaldem anajua kim dang dosh- mi ni mtukutu
sare porojo, bad news
this is the cookbook
siezi pull up na kisu
mi ni mtu tu-tu-tu
mbuku nijaze mistari zi- hi hi hi
chill buthu mkanga, mi ni mli keel eel
tafuta dero na mngola
uwezi rudi tena umeze shade
mreal namtoka
usiwai kubonga sana kash-sh-
ngati ngati ngati ngati ngati ngati msee
this is a wake up call
welcome to my channel
who am i?
cheki skele wa mine
n-gga vanilla interior
mbele na nyuma ni white
[chorus]
wapi na nani! wapi nani!
wapi na nani!
ngoja niwalole!
pinji ni red rose
msee ana gotha, ni ombre
ukimuok, na heda ni dibla
sisi kuslace, ka kina zari
continue show msee alituzidi
wapi na nani!

[chorus]
wapi na nani! wapi nani!
wapi na nani!
ngoja niwalole!
pinji ni red rose
msee ana gotha, ni ombre
ukimuok, na heda ni dibla
sisi kuslace, ka kina zari
continue show msee alituzidi
wapi na nani!

[verse 2]
majengo naitw-nga mukhtar
i’m the headman napita na vichwa
huwezi nikunja, huwezi nibend
mpesa na ngithe nadunga weekend
niko manyaru niko machwade kila subaru
nadhani ni mambaru
thefo wa leo ni momo, na
shika kundule tatu za njuri
rizeh alinyuria na nyoi- woi woi woi
sogi, derava na ndeng’a ni mboi
mokoro -n-lianga woi
jirani ana roho chafu
ai, woishe, goin cool a na snail, shi’, shi’
[chorus]
wapi na nani! wapi nani!
wapi na nani!
ngoja niwalole!
pinji ni red rose
msee ana gotha, ni ombre
ukimuok, na heda ni dibla
sisi kuslace, ka kina zari
continue show msee alituzidi
wapi na nani!

[chorus]
wapi na nani! wapi nani!
wapi na nani!
ngoja niwalole!
pinji ni red rose
msee ana gotha, ni ombre
ukimuok, na heda ni dibla
sisi kuslace, ka kina zari
continue show msee alituzidi
wapi na nani!

[verse 3]
hatuongei juu ya kaa hatujaifanya
tutakwachia scar kwa face tuanze kuita tony montana
tapigia mkanya na asiposhika unaeza ita hosanna
bei imepanda lakini- hatuwezi kosana
niko na msabra mi-huita mzaba kila idhaa anaporura
naskia mi hurap uhuni
eeh, juu hakuna kitu ingine najua
mtusue kampuni ama tuingie streets
bado mnabuya
nilisuka ruby akaingia key, nikaitundura
si hukuwa wild
achana na willis, ye bado anakuja
dry, dry no chaser henny kwa meza
hivo ndio si hukunywa
look inaunguza, kiatu ya duka
huku mtumba si ndio hudunga
agent hudungwa wakamiss gunda
hessy akawakuta
si huchoma mpaka ituchome vidole
boza inageuzwa nyongi
we na hiyo slim inabaki ukuwe mpole
roda inaingizwa na key na rhoda anaingizwa ndole
ukibonga hatukuskii before tutoke
scene si huwacha sorted
[chorus]
wapi na nani! wapi nani!
wapi na nani!
ngoja niwalole!
pinji ni red rose
msee ana gotha, ni ombre
ukimuok, na heda ni dibla
sisi kuslace, ka kina zari
continue show msee alituzidi
wapi na nani!

[chorus]
wapi na nani! wapi nani!
wapi na nani!
ngoja niwalole!
pinji ni red rose
msee ana gotha, ni ombre
ukimuok, na heda ni dibla
sisi kuslace, ka kina zari
continue show msee alituzidi
wapi na nani!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...