letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de sikutambui - wakadinali

Loading...

[intro]
big beats afriq

[verse 1: scar mkadinali]
for real
mbona ni nyinyi nawawasha
nikikula nyama choma tufirifiri na tusker
bro amejituma ako kazini anaisaka
but anajua bibi yake anafanya nini naivasha?
woi! aki si kenya kuna content
nashindwa nidunge chain gani so n-z-dunga zote
anataka nimwage ndani mi namwaga kwa matope
si hubonga kilami tukitaka ganji itoke
normally shembeteng, ma molly kwa heineken
when am me, you’re my friend
we got rich in the ends
tulimtupa kwa boot si tulimtrace na magun
ka huamini tuko lose ulize —- aling’am
si ni maburglar for sure na hii si siri
balaclava huezi onwa kwa cctv
bro nikimwambia haskii na ye’ si kiziwi
ka si biz utanipata nimesare sikimbizwi
[hook: domani munga]
kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
speed flani shwaa, boxer kawasaki
njege masanse hawatutaki
ka hunitambui sikutambui
wazing wako na waks ka unang’am
na mawaks ka unang’am
na mawaks ka unang’am, na una—
wazing wako na waks ka unang’am
na mawaks ka unang’am
na mawaks ka unang’am, na una—

[verse 2: domani munga]
bora na waks wathara
ukikwara askari wa msitu giz ni kukimbiza maswara
after masjid masti ikilost
easich wazing tunapiga baroda na kigwara
tumbo yoyoto mpoa yazil lombotost
hizo mangoto 6 feet deep, deep ni vile alimarwa
homeboyz hapana taka mchezo ati nahama
tomboys bomboclaat bado un-z-marwa
baroda sarе kindipi tukishoot hizo masaa
minus warazi tuna-addingi ma ombre
sitaki news joh mheshimiwa kuliеndaje tena jamaa?
divide makazi zi-times-ingi to the jobless
what about qccbs?
how about gen z how about that?
what about qccbs?
how about gen z how about that?
[hook: domani munga]
kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
speed flani shwaa, boxer kawasaki
njege masanse hawatutaki
ka hunitambui sikutambui
wazing wako na waks ka unang’am
na mawaks ka unang’am
na mawaks ka unang’am, na una—
wazing wako na waks ka unang’am
na mawaks ka unang’am
na mawaks ka unang’am, na una—

[verse 3: sewersydaa mkadinali, domani munga]
yo, tunadrip design tumekuwa maplumber
tunabeef joh, sidhani ka mtaezana
labda p-stock ama kofi ka ya anan
pigia sk!llo tuchukue maskan ka za das
mi ni pro kwa hii sh-t si ati najigas
kuna bro amejipinkia ap na ngiwap
mwili yangu ya kwanza nilishikanga nikirap
tuko waks kushinda biz wera imetugeuza wasps
moshi moja ya pili ya utat na unakuf kuf
tuko holy masoldier, matroop na ma crew crew
unang’am? unang’am?
uli-ulidai ati una kitu na—
una makali na graph yetu inaimprove
speed flani kawasaki nikikam through
kama lightning, tukijam ni kustrike tu
kuthigitha warazi ndo kitu si hu-do
[hook: domani munga]
kuna pahali nafaa kuenda na ni sahii
speed flani shwaa, boxer kawasaki
njege masanse hawatutaki
ka hunitambui sikutambui
wazing wako na waks ka unang’am
na mawaks ka unang’am
na mawaks ka unang’am, na una—
wazing wako na waks ka unang’am
na mawaks ka unang’am
na mawaks ka unang’am, na una—
wazing wako na waks ka unang’am
na mawaks ka unang’am
na mawaks ka unang’am, na una—
wazing wako na waks ka unang’am
na mawaks ka unang’am
na mawaks ka unang’am, na una—

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...