letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de pima poa - wakadinali

Loading...

[intro]
huyu msee anataka kurap hivi?
ai ngumu…
yoh waddup waddup aress.. 66
man wakadinali again au sio?
mafans bado mpo? hatupo hatujali nini..
[?] k-mamaye au sio
uh uuuh!

[chorus]
pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
pima poa, ukiuza mboiyoi buru umesota
we pima poa, hio price ieke chini
bro ameng’ora
pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
pima poa, ukiuza mboiyoi buru umesota
we pima poa, hio price ieke chini
bro ameng’ora

[verse 1: domani munga]
tuma kakitu hadi ya kutoa acha izo
msee ashai niondolea eh g.o.a.t kutoa hizo matatizo
johnsaga na mogoka, bob saba ndani ya boxer
my mummzy ni wabosha, mi na maxine kwa taxin naororia
tripo ni ya umoja but nawamake-ia nuclear program
nyi ni waoga na munga ndo mganga anawashinda kuroga
maji ya kuoga, siku hizi nawauzia thao moja
mi ni topsweeter ,munga mi ni volatile
rudi salon kaa na wamama, we ni paedophile
lighter jo ni kifaru, chargie akisha roach inferno
kisha doch ni ballot, leo duvai ni ngano
chingri leo ni mano, we ni diva, we ni bro wa chimano
hio leave alone, hio ni mfano
pia kuna bidhaa zenye ni mchina ziti
zote huw-nga round but usicompare-e big g na minji
usiwai compare di sh-ti na meechie

you might also like
[chorus]
pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
pima poa, ukiuza mboiyoi buru umеsota
we pima poa, hio price iekе chini
bro ameng’ora

pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
pima poa, ukiuza mboiyoi buru umesota
we pima poa, hio price ieke chini
bro ameng’ora

[verse 2: sewersydaa]
after scene questioning tulipelekwa precinct
ata beast anajua happenings ni huko mall ya chini
work hio mwili ndo upate milli’ mi natumia akili
watu wa east-wing lazma ndeng’a really?
huku down watu wamejam hadi wamekuwa trigger happy
guza madam vizuri kwa club ujipate hauna ganji
shimo flani ndo inafanya mpaka gangster hulali
buda amejam mabuti mama amegeuzwa victim wa waragi
ana red id wanjigi anaeza empty magazine
assailant asafiri nimeacha mbegu enough kwa hii city
venye mdem hutoa itatake miracle kupata mkidi
fika poa naskia we hukuwa high tu na flight ya swedish
si ndo maboyz wahot ingizwa baridi ni ka uko kwa pick up
sky tulipita ona si ni ma stars kwa giza
tunapenda jako kubwa zile zinaweza tuficha
supu surwa after mbichwa manze jo zilishika

[chorus]
pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
pima poa, ukiuza mboiyoi buru umesota
we pima poa, hio price ieke chini
bro ameng’ora

pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
pima poa, ukiuza mboiyoi buru umesota
we pima poa, hio price ieke chini
bro ameng’ora

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...