letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de patrol - wakadinali

Loading...

[intro]
drillers drillers
shout out to drillers manze
man a driller, yo
ayo chino, you again

[verse 1]
kama unajua mkondo, hatufollow exilo
saa ingine si huingia molo
mono stereo hatujali, si bora tu utu-recordie vocals
photo moto highlights, hadi siku hizi wanapause kwa koto
911 wana more calls, ya mwisho youts walinyuria mokoro
pa pa pa, manduru si huziskia hatukujua ni wezi
labda auntie ako nditni anapigwa ki mechi
life kwa –s ni crazy, kuna ule underage alipatiwa ukedi
ready or not, si tukitokea iteni mavedi
hauskii alifire na akahata, tukamgeuzia saii ako langata
— faster mutaratara, si hatuna time ya mangata
uongo unakata utaacha kukana naona una lugha ya makanga
dexter ilimarwa, sema kukacha kadera alihepa mambang’a
[hook]
patrol patrol kwa ndege (patrol)
mbaru nataka njo (yo)
wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot (murder)
knock knock knock sato, ku peep naona dci pon mi door (peep peep)
wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot

[verse 2]
yo yo, walidhani mi ni john kiriamiti
ilikuwa nifungue, but w-ngenishika, key chini ya kiti spiliff kwa meza
hao wasee wakawa-bribe na tenga, sin ilipigwa sogi alirenga
black eye hadi anapandisia rayban, labda swag ama anaficha radar
neighbour jana aliniandalia pweza, d-ck ndani ya p-ssy drill hadi rengwa
may back mi sikuwa na pesa saii namanifest tu kitu ka maybach
daughter ka laila so ukimcross mangumi, ngumi ka pay back
raruka ka tailor, area flani — natepwa na ketepa
na after kuipepeta, make sure unaambia huyo b-tch see you later
pereka pereka, unajionanga mzing k-mbe we ni hater
makolo kwa mrenga na kuna jeshi imechafua bling hautapenda
na sijawai ona mkeka tangu ramza but jah ananipenda
[hook]
patrol patrol kwa ndege (patrol)
mbaru nataka njo (yo)
wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot (murder)
knock knock knock sato, ku peep naona dci pon mi door (peep peep)
wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot
patrol patrol kwa ndege (patrol)
mbaru nataka njo (yo)
wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot (murder)
knock knock knock sato, ku peep naona dci pon mi door (peep peep)
wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot

patrol patrol kwa ndege
wiu wiu wiu
wiu wiu wiu
patrol patrol kwa ndege
wiu wiu wiu
wiu wiu wiu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...