letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nyara nyara - wakadinali

Loading...

peng ni ayela na gang ilimnyora
design ya nyara nyara nyara
mraa tunairun bila haya
na gut ni kilalo ya jana
jokes on you mnatupima
liars manze hio ni nini mnafanya?

mavedi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya
warazi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya

peng ni ayela na gang ilimnyora
design ya nyara nyara nyara
mavedi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya
warazi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya

eh, ati, yo
9 months unatry kudeliver
hatukuonei huruma ukuwe unless una
mimba
ngwai east imepeleka vijana wengi
inda
it’s high time kenya ikuwe legal
ni heri uangushe kinde cbd njoka
ako rada
ukikojoa atakushika
mr atleast try jo kubehave
staki damu imwagikie my linen t-shirt
naskia mnanitafuta huh, mpaka
mnanifuata kwa duka
stepper mi hukanyaga kubwa
ukikuja sana perhaps utakulwa
unafaa kujua nani ndo kushuta
before kunukisha hii mtaa unaweza
juta
mbepa si hufungia gunga
hakuna ni sunday mzaе jo amefunga
mi huflip ka beats za afrika
niliwaachia hiphop siku hizi man a
driller
mabiz za mpini si hupiga
kwani si ata judgе alipardon k!ller
splash splash tukifika
itoka inaspark ma opp wanaitika
trap trap to saa tisa ni mboka
nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika
nimeona subraru ikinipita
i think kwa hio rounda scene ilipigwa
bruce iliskika street iliwika
black alikam akanyambisa
naskia mi mchafu spitter
ni ka mi huandika hizo ngoma kwa
pipa
kudus informer though hawakunipata
nilikuwa na operate na beaper

peng ni ayela na gang ilimnyora
design ya nyara nyara nyara
mraa tunairun bila haya
na gut ni kilalo ya jana
jokes on you mnatupima
liars manze hio ni nini mnafanya?
mavedi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya
warazi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya

peng ni ayela na gang ilimnyora
design ya nyara nyara nyara
mavedi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya
warazi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya

kuna venye covid naitii kitumoja
daily coro 19 nilinona
cyber ronging in different location
wolan tunaiduingi normal
fake kings n-z-di kuwawinda
ka ulidhani hio ilikuwa mechi gwan
hii ndo dimba
peng ni ayela msupuu
mans na domani naishi life bila filters
sina hadi maarifa
mi nilidhani shore nilikuwa nabonga
naye insta ni risper
nikihama mi huenda na kamba za
nguo
i wish ningekuwa kplc
arif alikuwa mca, sai ni mp anarepingi
westy
sik-meet huyo msichana no no
nilidate hio v-g-n-
ndoch una manzi mdechu
ushaimwanika kwa mneti hapana
i was high in school man a driller
tangu enzi za insyder
nina ndoto ya maziwa mrefu
inaweza lipa debts zote za mchina
watch what you are talking kwa pot
timeline yako ina tiktok
nina maboyz kise huko ngong
walipanua riko sai wanamanufacture
richot
peng ni ayela na gang ilimnyora
design ya nyara nyara nyara
mraa tunairun bila haya
na gut ni kilalo ya jana
jokes on you mnatupima
liars manze hio ni nini mnafanya?

mavedi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya
warazi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya

peng ni ayela na gang ilimnyora
design ya nyara nyara nyara
mavedi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya
warazi walipumua fire huh!
exactly niliwadanganya

for real! heri nitokee siwezi kukutuusi
twitter mimi
ocs ocs alisema tupotee na tusiwahi
rudi mjini
wananiita dangote na mi sijui kwanini
nyong’inyo zangu zinatee sivui viatu
nikiwa kwako mimi
hii tenje ipotee nishakuwa hoodini
sanse atokee hii ngwai haizimwi
mi sinanga fee bado najiamini
when you see me better hashtag
easy
deep down they wanna be me
hii mtaa chini ya maji niko na dini
rhyme gym rong rende ndani ya
building
combine kila rapper kenya ndio
unimake mimi
wakiniona ni rizla na ganja
nikishawachoma girimba narambwa
mama mboga anachezaga na rada
alinicall akanishow safisha unasakwa
ju nina n-ggaz waliiba na alibaba
pandish-ga middle finger kwa media
na coveer
vijana walikosa riba na rada
likuwaga ni mchana
wakikimbiza mambang’a
sio easy getting this shilling
me na bro kitchen we be distilling
yeah i told you if you see me, you see
me
iwas not there but they gave you the
same feeling
undercover google u search
undercover msupa acheze bubu
tukif-ck
ka anakanja crew inakamn
wakiletanga ujanja crew inakam
kuburn

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...