letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kuna siku youths wataungana - wakadinali

Loading...

[intro: domani mkadinali]
uh, uh

[chorus: domani mkadinali]
haina noma, una namna
tuseme “bora uhai,” haina maana
achia noma maulana
life kwenye streets kakiumana
juu kuna siku youths wataungana
kuna siku youths wataungana
haina noma, una namna
wakadinali, wakadinali, mtoto wa mama
haina noma, una namna
tuseme “bora uhai,” haina maana
achia noma maulana
life kwenye streets kakiumana
juu kuna siku youths wataungana
kuna siku youths wataungana
haina noma, una namna
wakadinali, wakadinali, mtoto wa mama

[verse 1: domani mkadinali]
hata uwe mzito na we ni mtiaji, utachujwa
ubesh chege eventually chunga
alitu-accuse cocro, tuna-smell kiplani magunga
ndio tuchokeshe njege, kibronj aliisunda
action na pale na bhang, msanii nimejifichia salasa
tuwachekeshe, kucheki merit, tunaseti kuangukia darasa
kuna watu wa ocha hawawezi ngoja doh mpya iwafikiange faster
2020 hatutaki trouser kuwararukianga rasa
tukivunjwa goti, bila ku-show ka hussein machozi
we si player, bali diva, umekam ku-strike a pose
gta, grand prix, rong rende pia ni kikosi
sky ndae, si wa hamilton, valentino rossi
naiwasha ndani ya ploti bila ku-doze
wao wanawashwa wakiwa juu, huko third floor na hatutemei kikohozi
mi ndio simba nina kovu, so ka we ni swara muja
still we doing flying toilet kwa hizo juala mpya

[chorus: domani mkadinali]
haina noma, una namna
tuseme “bora uhai,” haina maana
achia noma maulana
life kwenye streets kakiumana
juu kuna siku youths wataungana
kuna siku youths wataungana
haina noma, una namna
wakadinali, wakadinali, mtoto wa mama
haina noma, una namna
tuseme “bora uhai,” haina maana
achia noma maulana
life kwenye streets kakiumana
juu kuna siku youths wataungana
kuna siku youths wataungana
haina noma, una namna
wakadinali, wakadinali, mtoto wa mama

[bridge: sir bwoy and scar mkadinali]
wataungana (wataungana, fanya mambo)
sifa zote kwa maulana (r.i.p kwa msando)
niku- nikukazana (westie to eastlando)
wata- wataungana (wataungana, fanya mambo)
wata- wataungana (wataungana, fanya mambo)
sifa zote kwa maulana (r.i.p kwa msando)
niku- kukazana (westie to eastlando)
wata- wataungana (for real, mmh, noma sana)

[verse 2: scar mkadinali]
ni ile design nimeji-humble kwako, baba
kila inaumanga, eastlando, hustle nadra
kinagaubaga na-feeli sicker nayo
tangu nianze kukufuata, hii feeling sitasahau
sina makao, ndio maana nimeishi kote
ka sila na paul, milango ziliji-open
casino za tao, mipango zao ni all same
nipate, nikose, nisote mpaka nikope
compe ni shughuli za dunia
kuwa-show wa-confess ni kupuliza gunia
kwa wale wote walo kula ma-scar
hutabaki njaa mpaka siku chura za-fly
jo, madawa, vijana wetu wamepagawa
wasichana wetu, kazi wameshindwa, wanagawa
mambang’a wanachinjwa, wanagwaya
jiji na ma-banner tukishindangwa na gava

[chorus: domani mkadinali]
haina noma, una namna
tuseme “bora uhai,” haina maana
achia noma maulana
life kwenye streets kakiumana
juu kuna siku youths wataungana
kuna siku youths wataungana
haina noma, una namna
wakadinali, mtoto wa mama
haina noma, una namna
tuseme “bora uhai,” haina maana
achia noma maulana
life kwenye streets kakiumana
juu kuna siku youths wataungana
kuna siku youths wataungana
haina noma, una namna
wakadinali, wakadinali, mtoto wa mama

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...