letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mzee wa busara remix - wachuja nafaka

Loading...

[intro:]
juma nature:] mzee wa busara…sara…aa..aaah
[kr mullah:] mzee wa busara noma toka anasoma…
[inspektah haroun:] {laughing mockingly} mzee wa busara huyu’ kutwa tunakesha kuweweseka
[juma nature:] k-mbe kabana… mzee wa busara…aa…ah…

[verse 1: inspektah haroun]
huyu busara’ mzee wa ndumba, juju, mtu wa kuw-nga w-nga
zuga yake ni mganga wa jadi, mila na dawa za mitishamba
mtu [?] mdomo msheli sheli na rapusha
aombe kwenu mboga na chumvi, sukari viishe upoteze maisha
hatakama mahitaji yenu ya akiba
hala hala! jirani’ mchotee j-po kibaba
ana paka wake huyo, akilia…”nyaauu”…
basi nyumba ya pili tun-z-ka mtu na tunamsahau
huyu busara, karaha, hasara, mtu hajala, nimpweke, mkeke, empty, mweupe, yuko maja’ndara
kutwa kushinda kwenye bao’ tu
anabadili mikao’ tu
mzee wa busara huyu huyu >> huyu huyu
vitoto vikipotea mtaani vinatolewa chini ya mbuyu
hana kazi, hana kibarua; anaishi ishi vipi?
kama si [?] unamsumbua
zake ni chuma ulete, akinunua kitu
[?]
faida yote ya kwake
juma eeh! mwambie mama haruna aingize ndani watoto mapema…
mzee wa busara kakorofishana na kina john mgema
yaani ni hofu hofu; mtaani mashaka tele
sijui kwanini huyu mzee kawa na roho ya kuwakerе
ah! busara unatuudhi
[chorus: juma nature]
mzee wa busara’ vishawishi vimemponza mpaka kafanya msala
mzee wa busara’ ni mzee ambae tunaishi nae kwеnye nyumba za kupanga
mzee wa busara’ vishawishi vimemponza mpaka kafanya msala
mzee wa busara’
na tena majirani wanahisi huyu bwana mw-nga…
mzee wa busara’

[verse 2: juma nature]
malaria inaanza’ wee…,inapungua
inaanza’ wee…,inapungua
huyu busara’ mtu wa sala, saa 24 anafunga sala
akitenda kosa, ukimsema tu’ anaanza kuzusha msala
atanuna hapo, atazira hapo; mjomba kazi unayo
sa ni msisitizo mw-nga kasha [?] kisago
tuone je kama tukimpa mvua atatukaanga
king’wendu -n-lalamika eti tumbo lina muuma
hata ule mchezo wake amepunguza kucheza
“king’we-king’we,king’wendu lile!”
chakula cha mw-nga usile
mtoto wa mtaa wa 3 amerogwa’ rangi tatu
mchana alikuwa mzima, naskia akageuka chatu {imitating a cobra spitting}
haya sasa’ nini? ugomvi huo
mtoto wake busara kila siku anakula kwetu
tukishaanza kula’ wa kwanza kupakua nyama
ukimkataza…”mamaa!”…anaenda kusema
kivumbi sasa usiku
na huu ni mwaka wa sita’ mama -n-lalamika mguu
tumehangaika kwa madokta wee… ikashindikana
tukaangaika kwa mganga wee… ikashindikana
sasa sijui twende tukaseme kwa fred tibaigana
au tuendelee kukaa’ tumuuguze mama
hapana’ inauma uchungu
umlogee mtoto wa mtu kisa [?]
majani kasema adhabu hakuna zaidi ya marungu
na tukiona tumeshindwa tu’ tunamwachilia mungu
lakini jana usiku tu’ tulichanjwa chale sita
tukaanza kujiuliza humu ndani nani kapita?
madirisha yalikuwa yamefungwa
rashidi mlango kafunga
sasa amepita pitaje?
kwenye kuta au kwenye nyufa?
[chorus; repeat]

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...