letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de hawajui - vanessa mdee

Loading...

[intro]
nahreel wussup wussup wussup wussup

[chorus]
hamjui tu nyie
alichonifunza mama
na na ndiyo maana
hamuishi kutukana x2

[verse 1]
kila kitu majaliwa kupata nimebarikiwaga
nini tilalila usiku mchana unabwabwaja
kwako mi mpira unanicheza unavyotaka
kila siku beki leo kipa nimekudaka

[bridge]
we mwanadamu gani uliyekosa aibu
huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu
huishi zogoa zogoa
kila siku zogoa zogoa
ukilala zogoa zogoa

[chorus]
hamjui tu nyie
alichonifunza mama
na na ndiyo maana
hamuishi kutukana x2

[verse 2]
choko choko ndiyo mambo mliozoea
kuweka vigenge na makundi mkiniongelea ah ah
eti naringa, nikishinda mnavimba, hamuishi kuniwinda
mungu ndiyo ananilinda

[bridge]
we mwanadamu gani uliyekosa aibu
kunisema kwa ubaya
na ukiapa kwa mungu
huishi zogoa zogoa
kila siku zogoa zogoa
ukilala zogoa zogoa

[chorus]
hamjui tu nyie
alichonifunza mama
na na ndiyo maana
hamuishi kutukana x2

[bridge]
we mwanadamu gani uliyekosa aibu
huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu
huishi zogoa zogoa
kila siku zogoa zogoa
ukilala zogoa zogoa

[chorus]
hamjui tu nyie
alichonifunza mama
na na ndiyo maana
hamuishi kutukana x2

written by: elias barnaba, vanessa mdee, noel mkono
produced by: nahreel

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...