letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de upendo wa yesu - upendo nkone

Loading...

eh tunamsifu mungu
anatulinda
kila siku

upendo wake umetuzunguka siku zote
halleluyah

huku na huku eeh kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
kila ninapoimba kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
niwapo nimelala kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
na ninapo tembea tembea kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
hata nikiwa nakula kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
eh niwapo safarini kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
nikiwa masomoni kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka

kila tunapokwenda tumezungukwa na nguvu za mungu
na kila tunalolifanya ambalo ni kwa ajili ya
utukufu wa jina lake tumezungukwa na upendo wake halleluyah

huku na huku na kule na hapo kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
anitegulia mitego ya muovu kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
mi nalindwa kuliko wakuu wa dunia
kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
hata nikiwa pekee yangu kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
na nikiwa nyumbani kw-ngu kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
na nikiwa kazini kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka

huku na huku na huku kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
nikiwa hospitalini kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
nimezungukwa na nguvu za mungu kama
mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
huku na huku he kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka
mawimbi mawimbi
kama mawimbi, upendo wa yesu wanizunguka

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...