letra de penda jirani - the nine c
Loading...
acha fitina
acha kuteta jirani yako ndugu yangu
kwa sababu shida iki kupata
yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
acha chuki acha uongo
ina leta matenganyo kati jirani
tafuta masikilizano
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
mwenye anapenda ndugu yake
ana ishi katika mw-ngaza
ooh oh
uta sema jee una penda mungu
kama una chuki kwa jirani
oooh ooh
mungu anasema
penda jirani
penda jirani
wewe ambae ume pata neema
yaku sikiya mwimbo iyi badirika
ukisha mpenda
ata kama yeye aku pendi
uta barikiwa na mungu
penda jirani jinsi unaji penda
timiza neno la bwana mina kuomba
usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
penda kwa ukweli popote unapo enda
letras aleatórias
- lil corbin g › letra de spinning pt 1 - lil corbin g
- tite lavoz › letra de prodotto - tite lavoz
- lildombaby › letra de w0cky - lildombaby
- ермак yermak › letra de на дне (at the bottom) - ермак! (yermak!)
- coez frah quintale › letra de fari lontani - coez & frah quintale
- neza ita › letra de morabito* - néza (ita)
- oscar iv raynk › letra de soul-low - oscar iv & raynk
- demy › letra de εσύ θα διαλέξεις (esy tha dialekseis) - demy
- pomfret › letra de tool assisted skramz (tas) - pomfret
- mick key › letra de укол (injection) - mick key