letra de yanatisha - the humbled tanzania
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k-mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k-mtii
unapokosa nguvu ya kwendelea
umwendee yesu
ana nguvu ajabu
nguvu zake mungu
zaweza tenganisha mwili na roho
ziliumba ulimwengu
zashangaza ajabu
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha, yanatisha, yanatisha
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha yanatisha yanatisha
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ni mungu wa huruma
ni mwingi wa rehema
ni mungu wa furaha
ana nguvu ya kubariki
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k-mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k-mtii
letras aleatórias
- the moss ut › letra de blink - the moss [ut]
- beach boi leelbz › letra de быть как (be like) - beach boi leelbz
- wilber pan › letra de 快樂崇拜 (adoration to happiness) - wilber pan
- vkilla › letra de don guerrino rota (comunità) - vkilla
- photronique › letra de hello - photronique
- tony 2milli › letra de io sono il migliore - tony 2milli
- black valor › letra de forced to pray - black valor
- 高野麻里佳 marika kouno › letra de love&moon - 高野麻里佳 (marika kouno)
- didi b › letra de 2023. - didi b
- zuskii › letra de go getter - zuskii