
letra de yanatisha - the humbled tanzania
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
ukweli bwana ni wa ajabu
matendo yake ni ya ajabu
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k-mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k-mtii
unapokosa nguvu ya kwendelea
umwendee yesu
ana nguvu ajabu
nguvu zake mungu
zaweza tenganisha mwili na roho
ziliumba ulimwengu
zashangaza ajabu
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha, yanatisha, yanatisha
yanatisha, yanatisha yanatisha
yanatisha yanatisha yanatisha
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ni mungu wa huruma
ni mwingi wa rehema
ni mungu wa furaha
ana nguvu ya kubariki
yanatisha, yanaogopesha, yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k-mtii
yanatisha yanaogopesha yanafurahisha
ndiye mungu twapaswa k-mtii
letras aleatórias
- letra de the life of a walnut - yung walnut
- letra de hello kitty - webcorno
- letra de buddha on quaaludes - gorgeous jetson
- letra de filthy - microwave
- letra de cantico della sambuca - giacomo scutellari
- letra de pretty baby - iv xxvi
- letra de full court press - ale the man feat. chris $treets
- letra de plata o plomo - reda rwena
- letra de bad boy - city pea
- letra de rien que pour moi - cdqp