letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de wewe ni nani? - steph kapela

Loading...

wewe ni nani? wewe ni wa kina nani
ati umetoka pande gani
wapi mtaani wapi ni ka haujulikani
buda umecome na kina nani?
mbona unakaa summer bunny flani
unakaa wa kilimani, umefikaje kasarani

buda umejileta pabaya
wacha kakitu inaweza kutetea
ata magova ndo wale wabaya
nampa kakitu na anatembea

life si fare lazima vijana washibe
ju maisha ilishatulemea
huwezi compare kama uliweza kusoma
usikam kunisomea

eh kenye ulipewa mi sina
wengine lazima tusake (lazima tusake)
kenye haipatikani kw-ngu
lazima ipatikane kwake (tutapata kwake)

nalenga chai walai
nihustle nipate mkate
bahati mbaya mi nihate
siwezi kushiba na mate
mwisho wa rodi labda ni pingu
labda ni panga vile itakam
ngori ni ngori bado nakam
sinaga worry mbogi haram

mwisho wa rodi labda ni pingu
labda ni panga vile itakam
ngori ni ngori bado nakam
sinaga worry mbogi haram

wewe ni nani? ka tukujui tunakudisrespect
usiulize nakuibia kwa nini
hata mimi naibiwagwa na mcsk
nikikupona nanunua makali
kuomoka na wizi hata mi si-expect

we unaona mabati mi naona nyumbani
kacheze mbali buda hii si estate
ambia hako ka-hater bado anatafutwa
manze na astick aliko

wanateta mi nina vitu mbili kubwa
buda d-ck na ego
hadharani nina njora
no face utadhani ni horror
si ni wakora wakuchora
kukusorora before kukupora
huku ni kazi na sala azyn hakuna kulala
wametu-wametukazia sana
me ndo nakaanga na ganji ya chama
niko na gari hapana lakini benz tukikuja matanga
fala-fala anakwara tukamvunja mifupa
kwa k-msamba mapanga

so labda ni pingu
labda ni panga, vile itakam
ukianzisha ngori naongeza irori
ndo tujue ni nani ndo chizi akijam

mwisho wa rodi labda ni pingu
labda ni panga vile itakam
ukianzisha ngori naongeza irori
ndo tujue ni nani ndo chizi akijam

you gotta know how to move in the city
i walk with a limp, i got money in the shoes
she got em drooling the size of the titties
but they don’t know that’s where she keeps all the loot

i can’t make a call in the middle of the traffic
unless the windows is up to the max
and even men i cannot even relax
i know how n-ggas be moving in packs
i swear we moving the best
ningewapora but my mama called me
and told me to rap
mi nina mbogi kisumu, nairobi, nakuru
mombasa they call me sultan

these n-ggas they know me
i’m a hustler hommie si brag
na si brag na mi niko territory yenu
hapa chogi anaweza pigwa slap (pah)

tao niko rada nikitoa mpesa
alafu natoa karibu na stage
nipande matatu ndo wasinifuate
tukware na donda ju mi sina change

nikidondoka nakanyaga kubwa kubwa
ka masaa zimeshapita ten
ju hata jirani nika wakujui
usiku k-mbuka washapiga shem

hii rende ni wrong, rende no nonsense
so si wanajuangaa ni nani wata-blame
chrome inafanya msupa akuwe ratchet
k-mbe anaplan kukukula machain, hahaha

shika kindom uwashe
una roho chafu mi staki hiyo chain
mi si kondoo si move na masses
hivo ndo mbleina hushikwa na maplain

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...