letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mtanziko (utata wa maisha) - sir yongo

Loading...

[intro]
yeah, yeah, yeah
woah, woah, woah
oo ooo ooo

it’s sir yongo!

[verse 1]
utamu wa kuogelea, ni kuwa ndani ya maji
utamu wa kuongea, upate msikilizaji
utamu wa mw-ngaza, mpaka ujue na giza
nuru inapotandaza, hutoweza kubeza

[pre-chorus]
ni kama mtanziko, haya mambo
huku na huko, mbiu ya mgambo
ni kama sielewi, kutoka kitambo
uu uuuu

[chorus]
utata wa maisha, tunapambana
ili na sisi, tuweze kufana
utata wa maisha, tunapambana
ili na sisi, tuweze kufana

[verse 2]
mbogi inasema, “yongo ’sikate tamaa”
nami nasema, “vipi na hizi balaa”
nikilalama wanasema, “si sawa”
“zidi ‘kazana, hiyo tu ndiyo dawa”
[pre-chorus]
ni kama mtanziko, haya mambo
huku na huko, mbiu ya mgambo
ni kama sielewi, kutoka kitambo
uu uuuu

[chorus]
utata wa maisha, tunapambana
ili na sisi, tuweze kufana
utata wa maisha, tunapambana
ili na sisi, tuweze kufana

utata wa maisha, tunapambana
ili na sisi, tuweze kufana
utata wa maisha, tunapambana
ili na sisi, tuweze kufana

[outro]
ni kama mtanziko

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...