letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de happy birthday - shine boy africa

Loading...

leo leo nataka kucheza
jamani leo leo amezaliwa upya

happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday to you

dj ongeza mziki tucheze
na wenye chuki waambie wazimeze
dj ongeza mziki tucheze
na wenye chuki waambie wazimeze

we ona raha ona rahaa
leo ndio umezaliwa
hongeraa hongeraa
kwa mama aliyekuzaa

uliyekuja ya zamadi leta
mwaga mimaji ka nvua inanyesha
kule pande zote wamefurika
watu wamesha vesha, wanataka kuruka, basi!

leo leo nataka kucheza
jamani leo leo amеzaliwa upya
happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday to you
happy birthday to you

kwenye vumbi kuna timka tope
nataka hizo kеki we ziwe kama zote
na kama kuna mwenza aje amlishe

ai ai ai ai!
anavyocheza anafurahi
alivyopendeza mwacheni ajidai
shampeni juu meza miksa divai
zima mshumaa mana mida tayari

leo birthday yako (kata keki!)
birthday yako, birthday yako (mwaga maji), birthday yako!
leo birthday yako (garagara!)
birthday yako, birthday yako (hakuna kulala) birthday yako

kama unacheza basi cheza serebuka sere
kama unacheza basi cheza serebuka sere
serebuka sere, serebuka sere
serebuka sere, serebuka!

kama unacheza basi cheza serebuka sere
kama unacheza basi cheza serebuka sere
serebuka sere, serebuka sere
serebuka sere, serebuka sere!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...