letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de poa - shebby medicine

Loading...

intro:
switch, s2keezy baby/

verse 1:
mi kw-ngu halitia maji, ila haikatishi tamaa/
mi bado naishi kwa imani, ipo siku utabadilika/
naona kama ndoto, kugeuza maji kuwa moto/
umenifanya mtoto, kuniliza mbele ya mashoga zako/
nakua mwoga kuamini, labda macho yangu mi ndo tatizo/
kile nachokiona siamini, nahisi labda….. /

hook:
j-po sili sikomi, kama mchawi ni yeye/
we mweleze sikomi, k-mpenda yeye/
anipe moyo wake, maana kauli nakosa/
urafiki na moyo wake, maana kauli nakosa/

chorus:
asichukulie poa (asichukulie poa) /
kuumia sana inaboa (kuumia sana inaboa) /
asichukulie poa… aaah (asichukulie poa) /
kuumia sana inaboa.. aaah (kuumia sana inaboa) /

verse 2:
dawa ya mua fundo, yamekata imekua ngumu/
penzi lataka lindo, kuliweka mbali na sumu/
naogopa urafiki na pombe, mwenzake hivo sijazoea/
kuzurura kwenye vilinge, wenda nyota hazijafanania/
aga! nijiliwaze kwa nyimbo gani, maana hata zangu nishajiimbia/
mwenzake hata kula sitamani, yamenifika ya dunia/

hook:
j-po sili sikomi, j-po mchawi ni yeye/
we mweleze sikomi, k-mpenda yeye/
anipe moyo wake, maana kauli nakosa/
urafiki na moyo wake, mwenzenu kauli nakosa/

chorus:
asichukulie poa (asichukulie poa) /
kuumia sana inaboa (kuumia sana inaboa) /
asichukulie poa… aaah (asichukulie poa) /
kuumia sana inaboa.. inaboa (kuumia sana inaboa) /

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...