letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de rhumba japani - sauti sol

Loading...

[intro: wuod omollo]
ooh, ooooh
ooh, ooooh
ooh, ooooh
ooh, ooooh

[verse 1: kaskazini]
kuna rhumba ya juja, na ni ya ma-boy
ukisaka mitumba, nenda rhumba ya toi
kuna rhumba ya kibich, utajua hujui
kuna rhumba for all you n-ggas, ila rhumba j-pani
ndio rhumba

[verse 2: bensoul]
kuna rhumba ya state house, iko chini ya maji (yeah, okay)
kuna rhumba ya bunge, yeah, ya majambazi (yo, yo)
ukileta ujinga, utalala ndani (wueh!)
kuna rhumba for all you n-ggas, lakini rhumba j-pani
ndio rhumba

[chorus 1: sauti sol, kaskazini and bensoul]
hapa ni wapi? (ni wapi?)
tumezungukwa na shisha na shashamani (oh, no, no)
mapochopocho na vinywaji mbalimbali
wengine wanatapika wakizirai (wakizirai, yeah)
hapa ni wapi? (sol generation)
wanatutw-nga mapicha, ni paparazzi (oh, no, no)
tumezungukwa na warembo geti kali
tun-z-toka na style za kizamani
[post-chorus: bensoul]
ah! ah
zoom!
skrr! skrr!

[verse 3: xenia manasseh]
kuna rhumba ya westie, ya mabeshte
kwa mashinani, sheki your waisti
rhumba ni nyepesi, isikuwe kesi
kuna rhumba for all my n-ggas, ila rhumba j-pani
ndio rhumba

[verse 4: nviiri the storyteller]
kuna rhumba karura, ya kupanda miti
ukiwa koinange, hakunanga risiti, eh, ai
rhumba oyole, hiyo ni ya mangwati
to all of my hoes and all of my n-ggas, rhumba j-pani
ndio rhumba, ohh

[chorus 2: sauti sol, kaskazini and xenia manasseh]
hapa ni wapi?
tumezungukwa na ma-bouncer na machuani
kuna mapedi, mapoko, pia mapinji (eh, eh, yeah, eh)
na wanaseti michele kwenye vinywaji (kwenye vinywaji)
hapa ni wapi?
kuna visanga, vioja mahakamani (vioja mahakamani)
wapenzi wapigana mate hadharani (oh, ohh, oh, oh)
wengine wanatekana nyuma ya taxi (nyuma ya taxi)
[post-chorus: bensoul]
zoom!
skrr! skrr!

[verse 5: okello max and bensoul]
nitie rhumba obunga, mano mar jothurwa (ah, zoom!)
to kidwa bilo mbuta, rieri yo manyatta (okay! yeba!)
yawuoi orwaka akala, to nyiwa ondiso avunja (skrr! skrr! avunja!)
kuna rhumba for all you n-ggas, lakini rhumba j-pani
ndio rhumba, ahh

[interlude: bien-aimé and chris kiomo]
ahh
sol generation, you know
hii sh-t imeniweka zone, inatamba
ahh

[chorus 3: sauti sol and kaskazini]
hapa ni wapi?
waheshimiwa wako nje kwa foleni
na raia wako ndani, wajivinjari
wan-z-toka na style, ni za kiodi
hapa ni wapi?
ma-watchie wote wameleta utiaji
wakafungia wakubwa nje ya party
wakawachia ofisi wafanyikazi

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...