letra de niwaze - ruby (tz)
hey
aye ee
《yogo on the beats》
mmh
unasema unanipenda una ngapi? ha!
vile uliniambia unaishi wapi?
pesa huna ‘una magari mangapi?
we yako mapozi ‘sa nikupeleke wapi?
basi imba nisikie pengine utanivutia
cheza kidogo oooh
imba nisikie pengine utanivutia aaah
imba kidogo
hey
acha niwaze (niwaze)
acha nikuf-kirie (niwaze)
acha niwaze (niwaze)
oooh (niwaze)
ni lipi niamue eeh
acha niwaze (niwaze)
acha nikuf-kirie (niwaze)
acha niwaze (niwaze) (niwaze)
ni lipi niamue eeh
kitambo ‘sina mkwanja unajua
yaani kama mgambo gwanda langu sijavua aah
umapepe nishatupa kule kulе
tangu enzi za shule kule
vichеche nishatupa kule kule
…aah
nimekuchagua we ‘uwe w-ngu unisikize
wa milele tafadhali usiniumize
hey
acha niwaze (niwaze)
acha nikuf-kirie (niwaze)
acha niwaze (niwaze)
oooh (niwaze)
acha niwaze (niwaze)
acha nikuf-kirie (niwaze)
acha niwaze (niwaze)
ni lipi niamue eeh
(niwaze)
…
uuuh, woah, woah
ah ‘mi hata j-po nikikujua jina kw-ngu sawa
ah ‘ila usizidishe ukaja nitoa dinner ntapagawa
mi mwenzako uvumilivu sina, we haya
ntakuganda kama ruba niwe wako chawa …aah
kweli mapenzi nnayo ‘pesa na mali sina
ila ni maisha yapitayo
kesho nitakuwa na jina, ujivunie
wema umepitiliza
mungu kakubariki aisee…
sijaona bae kama we ‘haki ya nani, aisee…
hey
acha niwaze (niwaze)
acha nikuf-kirie (niwaze)
acha niwaze (niwaze)
oooh (niwaze)
acha niwaze (niwaze)
acha nikuf-kirie (niwaze)
acha niwaze (niwaze)
ni lipi niamue eeh
(niwaze)
basi imba nisikie pengine utanivutia
cheza kidogo oooh
imba nisikie pengine utanivutia aaah
imba kidogo
hey
letras aleatórias
- bodhaktan › letra de killing in the name - bodh'aktan
- lozano › letra de if i could change the world - lozano
- ezdo marchito › letra de traficante de droga en la fashion week - ezdo marchito
- dumii › letra de grind - dumii
- the rheingans sisters › letra de this forest - the rheingans sisters
- autumn › letra de probably! - autumn!
- emz chasinemz › letra de my dawg - emz (chasinemz)
- zero il rapper › letra de medievil - zero il rapper
- alex soto › letra de como quieras quiero - alex soto
- prism fae august › letra de fake vibes (remix) - prism & fae august