letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de asilimia 100 - rodjazz

Loading...

asilimia 100 lyrics
song title: asilimia 100

verse one

mapenzi ni kitendawili
na wewe ndo jibu la kutegua
niliumizwa mi nikakata tamaa
moyo w-ngu waliurarua
we ndo suluhu ya uchungu w-ngu
kuwa wa pekee yangu
mkono w-ngu shika moyo chukua
milele huonekana muda mrefu
ila kwetu ni siku moja
kwa maisha yangu nimekuchagua

chorus

nakupenda (wewe aah ah x3)
asilimia 100
nakupenda (wewe aah ah x3)
asilimia 100

verse two

hamu yangu nikukabili
ugumu wa maisha nikiwa nawe
najua siku nitakufa
ila sitojuta kuwa nawe
moyo w-ngu ni wako
nimekukabidhi we
mali zangu ni zako
sitompa mwingine
chorus

nakupenda (wewe aah ah x3)
asilimia 100
nakupenda (wewe aah ah x3)
asilimia 100

bridge

kuanzia leo hii
nitakulinda
kukutunza hadi kifo uuh
nitakuheshimu
nakukuoenda mmh
ninakuoenda

parara para…
parara parara para…

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...