letra de black and blue - robbie omol
[chorus]
your love is
black and blue, its so true
i feel you
every morning and afternoon
[verse 1]
wacha tu niseme hii story
tangu nikupate nairobi
sijataka kuenda kwingine
umenionyesha maisha
katika ushirika kanisani
mola akubariki
[verse 2]
na mangoma kali
tukiskiza hali
tutaongea kuhusu siku za usoni yani
vile yesu alitubadilisha hayo mavazi
sina siri ju siri zangu aliweka angazani
nataka tujuane
lakini sio kwa telly
roho yako inajua kuna siku kuna mwezi
ya mwanaume kuamua
yesu mtetezi
nifungulie njia ili nipate mapenzi
[chorus]
your love is
black and blue, its so true
i feel you
every morning and afternoon
[verse 1]
wacha tu niseme hii story
tangu nikupate nairobi
sijataka kuenda kwingine
umenionyesha maisha
katika ushirika kanisani
mola akubariki
[outro]
black and blue, its so true
every morning and afternoon
letras aleatórias
- manasmira › letra de luck - manasmira
- baddies › letra de excess energy - baddies
- alayli › letra de helale - alaylı
- soul junk › letra de psalm 16 - soul-junk
- plosivs › letra de iron will - plosivs
- 9boogie › letra de dedikeret/ballin' - 9boogie
- sorry about everything › letra de st finity - sorry about everything
- dzikiii › letra de jak zwykle - dzikiii
- dreadknock › letra de easy way out - dreadknock
- davy hbf › letra de shako - davy hbf