letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de ndugu zangu - rob prophet

Loading...

verse
habarigani rafic yangu (habari) familiar yako namnagani
familiar yangu ninzuri (wako salama) lakini siko salama
eei dunia yachuki, fitina namatatiso
sawa zingine una liya, wakati kuna ugumu
hakuna marafiki wako (awo wasaliti) watakuwa pamoja nawewe
wakati unafanikiwa hehe wengi watakuja

chorus
ndugu zangu, dada zangu tunawa omba tushikane pamoja
tuyishi pamoja tushikane kama familiar x2

verse
how are you my friend (how do u do?) how is your family
my family is good (very well) but am not well
this world of hate, problems and hypocrites
sometimes you weep, cry where there is hardship
but none of your friends (those hypocrites) will be on your side
but when you celebrate hehe many will come
chorus
my brothers and sisters we urge you, to unity and get together
let us be together united as one family.x2
bridge

verse
wakati tuna ongeya kushikana tuna manisha tuwe kitu kimoja
tujali wetu wengine, kwaroho safi tufikiriye binadamu
kwajili mungu alituwumba kwa nfano wake, yeye mwenyewe
kama wewe mwewusi, mwewupe, sisi niwatoto wake mungu
chorus
ndugu zangu dada zangu tunawa omba tushikane pamoja
tuyishi pamoja tushikane kama familiar x2

till fed

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...