letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de vibes - rnakingtz

Loading...

tupo kwa mjengo tupo tuna bum bum
kuna watoto wazuri
tuna beat zuri
yo oh wanangu yo oh chek dude

ili dude letu lime hit sana
ili dude letu lakibabe
wapuuz awawezi ili beat
tuna lukaluka kama ivi

ivyo unaluka vibaya
chek me naluka
check me na dance
check me na luka
wanangu tuluke
wanangu wakitaa tuluke
wanangu wakitaaa tuluke
wanangu wa iaa tuluke

kama utak shobo
kama mm tuluke
kama ivi
eeeeeh eeeeh eeeeh

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...