letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de navumilia - rich mavoko

Loading...

[verse 1]
j-po moyo haujasema
kama penzi lako kw-ngu sinema
nikakuvisha pete chanda chema
mi nilitukutunza hukuwa mwema
mapenzi sio ubavuu
useme nilazimishe
tatizo upendo unaniumiza mimi oh macho
yanakuona unaniumiza mimi ohh macho
[chorus]
yote navumiliaa
umenipa nini nakupenda sana
(navumiliaaa)
unajua umelewa unanitukanaaa
(mengi navumilia)
tukibishana hutaki kugombana
(navumiliaaa)
ila yote baby
(huooni tu)
wamauteka moyo w-ngu
(huooni tu)
wakatili hisia zanguu
(huooni tu)
kunidhalili mbile ya wenzanguu
(huooni tu)
mi mnyongee vizuri unajua udhaifu w-ngu
chochote nikuhonge ili uitunze aibu yangu
ushajua nabaki nabaki mazima
hata niwena haki kosa kw-ngu we huna
ndiioo maana najitahidii ifike siku ubadilike
usipende vya zaidi
nikupe kidogo tu uridhike
ukiacha pengo kitabaki nini, mi wakoo
nimeshikama kali ninevuta mpini, msiba wakoo
yote navumiliaa
umenipa nini nakupenda sana
(navumiliaa)
unajua umelewa umelewa unanitukanaa
(mengi navumiliaa)
tu kibishana hutaki kugombana
(navumiliaa)
ila yote kaby
(huooni tu)
wamauteka moyo w-ngu
(huooni tu)
wakatili hisia zangu
(huooni tu)
kunidhalili mbele ya wenzanguu
(huooni tu)
mtoto mtamu chuchu
(nitakunis wewe)
kasauti kama kasuku nitak-mis wewe
sijekuhangwa ruzuku
(nitak-mis wewe)
kaja niacha kapuku
(nitak-mis wewe)

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...