letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de chanzo - rehema simfukwe

Loading...

ooh oh ooh

nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa

katika yote wewe bado mungu
ninajua kushiba na kuona njaa
katika yote wewe bado mungu

hata upepo nao uvume
mimi nitakuabudu wewe
chanzo cha uhai w-ngu nakuabudu

hata giza nalo litande
mimi nitakuabudu wewe
chanzo cha uhai w-ngu nakuabudu

nimejifunza kudhiliwa na kufanikiwa
katika yote wewe bado mungu
ninajua kushiba na kuona njaa
katika yote wewe bado mungu

ninajua udhaifu na kuwa na afya
katika yote wewe bado mungu

hata upepo nao uvume
mimi nitakuabudu wewe
(ooh yesu yesu)
chanzo cha uhai w-ngu nakuabudu

hata giza nalo litande
mimi nitakuabudu wewe
chanzo cha uhai w-ngu nakuabudu

nakuabudu nakuabudu
wewe ni chanzo cha uhai w-ngu
nakuabudu nakuabudu
wewe ni chanzo cha uhai w-ngu
nakuinua nakuinua
wewe ni chanzo cha uhai w-ngu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...