letra de waongo - rayvanny
eti nilemwita my queen eminado
leo kashika njia
aloyafanya mi simanzi
nishachoka kulia
nipe panadol changanya chloroquine
madawa yote jazia
sumu ya panya wapi kitanzi
nishachoka dunia
aliniahidi
nitakuwa wake kufa na kuzikana
kigoma kwa bibi
ngala mukunze na tukapelekana
tena akanifariji
eti anafanya mipango tuanze kuona
k-mbe muongo! alinidanganya kanifanya cartoon
k-mbe muongo! hadi safari za akasema salimi
k-mbe muongo! hawakutosheka chumbani wakafanya bafuni
k-mbe muongo! aliyoyafanya leo kw-ngu huzuni najuta mie
waongo wao! yaani waongo wao
waongo wao, waongo wao
tena waongo wao, waongo wao
waongo wao! yaani waongo wao
waongo wao, waongo wao
tena waongo wao, waongo wao
wengi mnapenda sura
shepu mibinuko
wakati hamna kitu kwa mif-ko
vimba kama puto kuringia uso
kijana jua kuna babu yupo
anahudumia, anagharamia
kodi ya nyumba anamlipia
na furniture pia kamnunulia
ipo siku utaikalia
macho kwenye pesa
macho kwenye noti
macho sio kwa handsome
macho ni kwa bosi
chat za whatsapp hizo ni namba za mashosti
ukitaka ufe cheki namba za kitosi
shevu fundi wa heleni k-mbe fundi wa mkoleni
fundi wa mafundi yaani fundi miuno feni
ana fundi mikocheni ana fundi magomeni
ila fundi wa manzese humfikisha kileleni
wakilia wana machozi bandia
macho funika pazia
msishangae mikia
mtaumia vijana
waongo wao! yaani waongo wao
waongo wao, waongo wao
tena waongo wao, waongo wao
waongo wao! yaani waongo wao
waongo wao, waongo wao
tena waongo wao, waongo wao
waongo wao! yaani waongo wao
waongo wao, waongo wao
tena waongo wao, waongo wao
waongo wao! yaani waongo wao
waongo wao, waongo wao
tena waongo wao, waongo wao
letras aleatórias
- lucio de › letra de rollin' up - lucio (de)
- anna shoemaker › letra de want something (say something) - anna shoemaker
- secret vaccine › letra de derrida - secret vaccine
- nova_static › letra de rules - nova_static
- fedorer › letra de малышка (baby) - fedorer
- khi soze › letra de 2faded - khi söze
- virlan garcia › letra de ni pisando el dolor - virlán garcía
- michael j woodard › letra de come home - michael j. woodard
- pnuk › letra de sentimientos inquietantes - pnuk
- truck stop › letra de mein opa, das bin ich - truck stop