letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mwamba - rayvanny

Loading...

namleta shemeji yenu mumuone
namleta shemeji yenu mumuone
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
namleta shemeji yenu mumuone
namleta shemeji yenu mumuone
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa

mara akivaa ozi mwamba hana matatizo mwamba
tajiri hana baya mwamba yaani amenyooka mwamba
nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo
mungu kanipa yeye anayenifaa
wambea najua inawachoma mukaroge tanga bagamoyo
mungu kapanga yeye hauwezi kukataa

namk-mbatia hamnifanyi chochote
tena namshika namchumu hamsemi chochote
nambeba pia hamnifanyi chochote huyu w-ngu
natamba simwogopi yeyote

mama amina bele amina belebele
mama amina bele amina belebele
mwache apite mbele apite mbele mbele
mwache apite mbele apite mbele mbele
namleta shemeji yenu mumuone
namleta shemeji yenu mumuone
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
namleta shemeji yenu mumuone
namleta shemeji yenu mumuone
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa

hana kipele mwamba sio baili mwamba
tena hajarogwa mwamba tajiri amenoga mwamba
nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo
mungu kanipa yeye anayenifaa
wambea najua inawachoma mukaroge tanga bagamoyo
mungu kapanga yeye hauwezi kukataa

namk-mbatia hamnifanyi chochote
tena namshika namchumu hamsemi chochote
nambeba pia hamnifanyi chochote
huyu w-ngu natamba simwogopi yeyote

mama amina bele amina belebele
mama amina bele amina belebele
mwache apite mbele apite mbele mbele
mwache apite mbele apite mbele mbele
namleta shemeji yenu mumuone
namleta shemeji yenu mumuone
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
namleta shemeji yenu mumuone
namleta shemeji yenu mumuone
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa
mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...