letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de kama unae - rapcha

Loading...

kama unae
kama unae kama unae
kama unae mmoja mposti
kama unae kama unae
kama unae mmoja mposti

verse 1. (rapcha)

babe tuna-match hawagusi

staki kuvaa tena nuksi

kucheat sasa nukta

tunashare perfume hata nikikucheat harufu inanisuta

post mpaka wakublock, huh! safi!

kama hawana bundle wasaidie wifi

wana jealous kuona sipepesi kwako

na we sio mwepesi, me i love n0body but you

you and i tu, sina option
onesha kama unae mmoja weka caption

watu hata ukijificha watakuchimba

kama unae mmoja utamlinda

bridge – kid golden

honey ukinimiss we ni-text

ama video call coz i’m here for you

washakunaku wakiku-test

nipost kila time waboreke tu

chorus

kama unaе
kama unae kama unae
kama unae mmoja mposti
kama unaе kama unae
kama unae mmoja

oooh aaah waoneshe
vile ulivyo bomba wakomeshe
oooh aaah waoneshe
vile ulivyo bomba wakomeshe

love, kwanza hawatuvishi unajua

na wala hatuli kwao wanajitia kutujua

mi sina story zao ila za kwetu wanajua

si wanaweza na wao yanini kutusumbua!?

sasa, tutaenda beach mida ya sunset

waalike marafiki kwenye engagement

na kila tukio picha zitahusu

tumwogope nani umri unaruhusu

i’m so proud of you, let them know that

look how you are beautiful, oh my god!

nahisi ndio naanza ku-date for the first time
siko late, and i’m very glad that you’re mine

bridge : kid golden

honey, wadada wengi wananicheck

nawaambia hapana mi wako tu

kabisa nimeweka break

gari imezimika kwako tu

kama unae
kama unae kama unae
kama unae mmoja mposti
kama unae kama unae
kama unae mmoja

oooh aaah waoneshe
vile ulivyo bomba wakomeshe

oooh aaah waoneshe
vile ulivyo bomba wakomeshe

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...