letra de amen remix - rapcha
Loading...
verse 1: {rapcha}
nilipohisi upweke kwenye moyo na mawazo kunichakaza
wanadamu nikawaomba msaada wakanitangaza
nikainua macho kwako, ukaniambia mwanangu nikabidhi shida
ukanifuta chozi nikanyamaza
sina cha kulaumu
neno lako ladumu
nikikuamini una rahisisha nnayoyaona magumu
umenipa muda mrefu wa kujaribu kujirekebisha na kutubu dhambi kabla haujanihuk-mu
kazi za dunia zinafanya nikusahau
na ninasahau kuwa we ndo unae nipa nguvu ya kuzifanya
lakini bado unanipenda sana
ungehesabu makosa yetu hakuna ambaye angebahatika kukuona
kukuamini inabidi
uliruhusu nif-kuzwe kazi ili unipe nzuri zaidi
unajua hamu niliyonayo ya kuiona pepo
nijalie nife kwenye imani ntapofika mwisho
amen
letras aleatórias
- minor majority › letra de forgive me - minor majority
- mc maneirinho › letra de sem ressentimento - mc maneirinho
- cuhmu nadibotski › letra de avaimet - cuhmu & $nadibotski
- skaterboy rico › letra de playoffs - skaterboy rico
- yung xela › letra de forever fatal - yung xela
- bayharbour › letra de conflicted - bayharbour
- dr x that rapper › letra de timid (intro) - dr. x (that rapper)
- quokstar › letra de stand me - quokstar
- thats fake › letra de nintendo (parody of despacito) - that's fake
- prch › letra de я вижу кошмары - prch