letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de saawa - ram dizzle

Loading...

intro
hehehee
yah me know som’
pamparampa
dr dizzle again
danjourn

verse 1
unahangaika na mambo ya dunia kila siku maisha yazorota hey!
mbele nyuma kando kando hakuna amani ila vyako vyote vina poromoka eeh!
unahangaika na mambo ya dunia kila siku maisha yazorota hey!
mbele nyuma kando kando hakuna amani ila vyako vyote vina poromoka eeh!

pre chorus
leta mizigo yako yote na nibebe
niko hapa kwa ajili yako mbona uteseke
leta mizigo yako yote na nibebe
niko hapa kwa ajili yako mbona uteseke

kama ni amani nitakupa
maisha yako nita linda daily
furaha yako nita irejesha
familia yako nita linda daily
njooni nyote mlio lemewa na mambo itakuwa sawa
nita wapumzisha
na mambo itakuwa sawa
chorus
na familia yako itakuwa, saawa
jamii yako itakuwa, sawa
na boma yako pia itakuwa, saawa
na nchi yako itakuwa, sawa

na familia yako itakuwa, saawa
watoto wako watakuwa, sawa
na boma yako pia itakuwa, saawa
na nchi yako itakuwa, sawa

verse 2
nili angikwa msalabani
ili uwe uhuru mama
nilidungwa ubavuni
ili uponee
miba kichwani
upate taji la uzima
you’re wondering everyday
come back to basics ina me say

unahangaika na mambo ya dunia kila siku maisha yazorota hey!
mbele nyuma kando kando hakuna amani ila vyako vyote vina poromoka eeh!
unahangaika na mambo ya dunia kila siku maisha yazorota hey!
mbele nyuma kando kando hakuna amani ila vyako vyote vina poromoka eeh!
pre chorus
leta mizigo yako yote na nibebe
niko hapa kwa ajili yako mbona uteseke
leta mizigo yako yote na nibebe
niko hapa kwa ajili yako mbona uteseke

kama ni amani nitakupa
maisha yako nita linda daily
furaha yako nita irejesha
familia yako nita linda daily
njooni nyote mlio lemewa na mambo itakuwa sawa
nita wapumzisha
na mambo itakuwa sawa

chorus
na familia yako itakuwa, saawa
jamii yako itakuwa, sawa
na boma yako pia itakuwa, saawa
na nchi yako itakuwa, sawa

na familia yako itakuwa, saawa
watoto wako watakuwa, sawa
na boma yako pia itakuwa, saawa
na nchi yako itakuwa, sawa

outro
back to basics seh
saawa
micrule ya deh yah pan
saawa, saawa, saawa
saawa, saawa, saawa

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...