letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de bado nakupenda - rabbit

Loading...

lala lala lala lala laalaaa

verse 1 :
yah! mungu alinibariki na lugha
nikakua pproach
mungu alikubariki na sura na body moja hot mungu angetubariki najua ndio maana nilikustop
na wazazi wakitubariki itakua full stop
kw-ngu penzi ilikua tu ugonjwa ya akili
aha hadi uliponikubali mimi
bado najuta sana ulinifanya lolote juu mguu taratibu hukanyaga popote
now love ikashika haw-ngetushika
kwa keja ni mapicha kwa fb na twitter
menu penzi nyama quarter na mboga mcicha
tukapanga kuita mtoi jamila na akue na sista
pacha ka inaweza ndio washoneshwe ma t shirts
miaka moja imepita tuko na love bila do
bado landlord anainsist kwa mlango ananock
hii hustle itajipa nataka nikuk-mbushe kwamba

chorus:
nakupenda
nakupenda
nakupenda wewe
nakupenda
nakupenda
nakupenda wewe

verse 2
so after maombi na ku fast nikapata kazi
love yetu ilikua poa ndio but tulihitaji ganji
nikawa busy nikiingia home uko usingizi
hakuna utamu kwa dishi umenifunikia tu ndizi
at some point tuligombana ndio maisha tulitaka
grandma alinishow hakuna refund kwa mganga
sababu kitanda ni ya kurest tu si kulala
ku make it worse nikapewa transfer rwanda
its either sonko hanitakii but aliblanda
all along tulipigania hii maisha ndio i have it
pia misemo hudanganya ati patience is a virtue
chelewa chelewa utapata mwana si wako
so sikuhizi mi hupiga hata hushiki
sikuhizi mi hupika hata si dishi
niko sufuri zero wewe bila mimi
hii hustle itajipa nataka nikuk-mbushe kwamba

chorus:
nakupenda
nakupenda
nakupenda wewe
nakupenda
nakupenda
nakupenda wewe
nakupenda
nakupenda
nakupenda weweeee

verse 3:
huku rwanda niko karibu kuvutwa kazi
kujazwa wasiwasi nilisikia una mshikaji
nikikuuliza ati ni gazeti za mtaani
kukuskia ntakua poa nikikuona ntakua zaidi
watu hufake mikono hizi barua hazifaidi
juzi haukushika simu jana na leo
naskia pia umehama unaenda kuwa mkeo
harusi wamepanga kwa leso uteo na
ni ya kisasa hadi ulinitumia video
niko rwanda sina mshikaji bila kazi
simu yenyewe bure haiwezi kuokoa jahazi
nakuk-mbusha bahati kuwa nakupenda

lala lala lala lala lala laalaa la laaa

yaani mapenzi imenitenda sana
lakini natumai katika hii safari yangu ya mapenzi
nitapata ile ya ukweli
asante sana chuli

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...