letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de deni - pierre mugisho

Loading...

sisi tu wageni wa mungu
garama tunayo ni kubwa
billi yake in-z-di ya ulimwengu woh woh

sisi tu wageni wa mungu
garama tunayo ni kubwa
billi yake in-z-di ya ulimwengu woh woh

garama ya deni tunayo ni kubwa
garama ya deni tunayo ni kubwa
ina omba kuji towa
ina omba hekima

sisi tu wageni wa mungu
garama tunayo ni kubwa
billi yake in-z-di ya ulimwengu

sisi tu wageni wa mungu
garama tunayo ni kubwa
billi yake in-z-di ya ulimwengu

malipo ya deni tunayo ni kubwa
malipo ya deni tunayo ni kubwa
ina omba kuji towa
ina omba hekima

usi abudu miungu mingine ila mungu
heshimu baba na mama ili upate kuishi
usi ueeh eeh
usi ibeeh eeh
usi zinii ii

usi tamani mke asiye ndoa yako
heshimu baba na mama ili upate kuishi
usi ueeh eeh
usi ibeeh eeh
usi zinii ii
usi tamani mke asiye ndoa yako
heshimu baba na mama ili upate kuishi
oh mama!

yoka yoka yoka yoka eeh
yoka yoka yoka yoka eeh

fongola watungi nayo frere nangai uh!
fongola biso nayo ndeko nanga
ngai nalingi loba eeh
eskoyi biko na nzambe nazala kote nayo
eskoyi bike koro azala para nayo
ndeko nangai

shida za dunia zisi kudanganye
matatizo ya dunia isi kusumbue
ukasahau muumba wako
siku tunazo ziishi ni za mwisho oh oh
mambo tunayo yapitia yote ni yakupita
deni yangu niko nalipa aah
kwakazi aliyo ifanya msalabani
uyo yesu uuh namupenda aah

usi abudu mingine miungu bila yesu
usi abudu mingine miungu bila baba
kwani yeye ndiye mwanzo tena mwisho
kwani yeye ndiye alfa na omega yesu eeh
yesu nanga yo yesu nanga
yesu nanga bah bah

usi abudu miungu mingine ila mungu
heshimu baba na mama ili upate kuishi
usi ueeh eeh
usi ibeeh eeh
usi zinii ii

usi tamani mke asiye ndoa yako
heshimu baba na mama ili upate kuishi
usi ueeh eeh
usi ibeeh eeh
usi zinii ii
usi tamani mke asiye ndoa yako
heshimu baba na mama ili upate kuishi
oh mama!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...