letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de rap shit (freestyle) - papi santana (worldwide)

Loading...

santana the baddest wa rappers
nichane hii damu inasoma kipaza
cha kwanza, nna ladha ya mafather, tambaza
nakaza, baraza najaza pakaza charaza
mabrother nna ladha ka laiser, nyamaza
mi bonge la fighter, can call me the taita
the king ka karata, hakuna matata, no drama ka faiza
toka vidudu nnachana na teacher akikuta daftari, hiyo verse anaichana
wengi wanabebwa na media, wanahonga mapesa na hakuna cha maana
yebo, na sasa nna wana…yea
tena nnaflow za kinyama
mi ni full team ka bafana
sijui karama ama laana…ey
sichezi na mida, nacheza na saa
i gat this kipaji kutoka kitaa
pilato wa marapper, hilo taji lanifaa na wallahi nnaapa
nitawika tu dar
sivuti majani, nnavuta chapaa
nimekimbiza na wanatambaa
n-gga be talking like yule jamaa
looking so short ila ana balaa
sina friends mi nna family, gado gado nipo kamili
kila rapper ye ndio baddest huh! go tell them i’m the finest
madem zao hazikabi beki, muhuni dry sicheki chеki
napiga jeki nnatoboa
middle finger to producеrs wanaodharau sh-ts za madogo ka me
middle finger to them n-ggas, wana wanaringa ringa kama wana nannhii
thankyou to oscar, amenipa the way, rest easy men r.i.p
j dollar on the beat, yea we the beasts and we k!lling this sh-t dawg!

most of y’all n-gga immitate what you rapping huh!
hii ni mazishi and i’m k!lling all you wack rappers and fakes
ain’t no picking any phone no more, no texts, no phone calls
i’m out, santana

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...