letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de acha waseme - otile brown

Loading...

kama riziki unatoa, basi ntakosa
ila kama ni mola lazima ntapata×2
bwana shetani muongo , muongo we!
mbona umejawa na kinyongo ndugu we!×2
bwana niambie x3 wapi nilipokuudhi naomba uniambie
mana sio sawa kama we wanichukia , nia njema nlio nayo kwako ndo mafanikio yangu , wakati mimi nakuombea mema , waniwazia mbaya ooh sio sawa
ooh so sawa
ooh dhamira yangu ndo nguzo yangu ×2

acha waseme , acha waonge ×2
wewe unanichukuia ata zaidi unavojipenda
unafikiri nafikiri unavyofikiria mana nia zako sio njema
chochote nachofanya unanielewa makosa
lolote nachofanya unanihuk-mu vibaya
wapi nilipokukosea ningependa unieleze
wapi nilipokuudhi ningependa uniambie
maana sio sawa kama wewe wanichukia , nia ooh njema nlio nayo kwako ndio mafanikio yangu
wakati mimi nakuombea meme , waniwazia mabaya ooh so sawa
ooh dhamira yangu , ndo nguzo yangu
ooh wema w-ngu ndo nguzo yangu ×2
acha waseme , acha waongee×4

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...