letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de jeshi (feat. harmonize) - og kev

Loading...

sometimes what you dream
can be deceiving
na huwezi kuvuna usichokipanda

thanks god for giving

ghetto sikuwa na umeme wala cable
hizi moja t-shirt na yebo
ati leo namiliki lebo
lebo, konde gang lebo

siku zote kisicho kuua
kitakufanya uwe ngangari
ata mw-nga huwezi k-mjua
so ishi nao kwa tahadhari

my sister, siku hizi shape wananunua
we pambana upate salary
ila usisahau pesa maua
so ukikosa hata usijali
one love kwa wanangu wa kitaa
nyie ndo mnanunua cd

two love kwa wanafiki wa insta
mnafanya niongeze bidii
three love kwa master na rita
mlinifanya hasira zizidii
four love njia ngumu nilizopita

mkanipa na jina mkasema niitwe
jeshi, konde boy jeshi
tena siku hizi wananiita tembo
jeshi, hata we ni jeshi

yaani kama una pigo za kirembo
jeshi, konde boy jeshi
yaani wanangu wananiita tembo
yeshi, hata we ni jeshi
yaani kama una pigo za kirembo

one love kwa wanangu wa kitaa
nyie ndo mnanunua cd
two love kwa wanafiki wa insta
mnafanya niongeze bidii
mi naamini mungu yupo tena
naongea nae j-po sisikii sauti yake

nikianguka ntainuka tena
so usishangae why tembo anahustle peke yake
coz i know, unapokiokota
ndo wakati wakukitunza
ili kesho kisije potea
na unaposota ndo wakati wa kujifunza

ni wapi ulipokosea
sio kama siwezi kujibizana
ila mwenzenu nimeumbwa na subira
cheki madili yanavyogogana
coz nina nyota ya libra

nbona siwaoni walotumwa kunitukana
vichwa vyao kimya
tena siku hizi siimbi sana
wacha washindane na ibraah

i say one love kwa wanangu wa kitaa
nyie ndo mnanunua cd
two love kwa wanafiki wa insta
mnafanya niongeze bidii
three love kwa master na rita
mlinifanya hasira zizidii

four loνe njia ngumu nilizopita
mkanipa na jina mkasema niitwe
jeshi, konde boy jeshi
tena siku hizi wananiita tembo

jeshi, hata we ni jeshi
yaani kama una pigo za kirembo
jeshi, konde boy jeshi
yaani wanangu wananiita tembo
jeshi, hata we ni jeshi
yaani kama una pigo za kirembo

one love kwa wanangu wa kitaa
nyie ndo mnanunua cd
two love kwa wanafiki wa insta
mnafanya niongeze bidii
konde boy

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...