letra de mpenzi mpya - neemoh feat taamic
[intro]
niko tayari (the department)
mahaba baby
kukuburudisha baby
neemo
mjanja
taamike
wasemaje
rap intro:
kwenye shamba la edeni mwenzeni nishajikuta
nimejaribu kutoka na moyo unagonga ukuta
wahh nishalewa mapenzi ushapenya moyo w-ngu (tiriria ta tiririra)
tanakali za sauti ya mdundo wa yangu moyo wacha waniite mchoyo
kukusambaza balaa
beluwa siri ishafichuka saka kusaka kule nishapata mteule atakae niwezesha nch0r- chini namba nane
(tiriria ta tiririra ta tiririra)
neemo nijazie nijazie
verse 1:
niwengi sasa nimeshapitia
lakini hakuna ambae amenivutia
hisia za mapenzi amenifungua macho
mio sio msichana tena bali mke mzima
(mara ya kwanza)
nimeshaitikia
nakubali kupendwa
nawe pekee milelee
chorus:
kichuna we ndio nahitaji
baby we ni zawadi
naomba usiende mbali
acha maswali mengi
penzi langu ni bichi
nikupe kupe penzi mpyaaa
kichuna we ndio nahitaji
baby we ni zawadi
naomba usiende mbali
acha maswali mengi
penzi langu ni bichi
nikupe kupe penzi mpyaaa
verse 2:
tazama penzi lako lanichangamsha
tuulia kw-ngu ni kukuburudisha
leo ni siku yako
niko tayari kuwa mpenzi mpya
nipate hisi haya mapenzi mapya
chorus x2
nimeshaitikia nakubali kupendwa nawe pekee nawe pekee milelee
kichuna we ndio nahitaji baby we ni zawadi
naomba usiende mbali
acha maswali mengi penzi langu ni bichi
nikupe kupe penzi mpyaaa
kichuna we ndio nahitaji
baby we ni zawadi
naomba usiende mbali
acha maswali mengi
penzi langu ni bichi
nikupe kupe penzi mpyaaa
kichuna we ndio nahitaji
baby we ni zawadi
naomba usiende mbali
acha maswali mengi
penzi langu ni bichi
nikupe kupe penzi mpyaaa
kichuna we ndio nahitaji
baby we ni zawadi
naomba usiende mbali
acha maswali mengi
penzi langu ni bichi
nikupe kupe penzi mpyaaa
letras aleatórias
- no sustain › letra de overture in g? - no sustain
- justin nozuka › letra de nova - justin nozuka
- lil dex aye › letra de es hora de levantarme - lil dex aye
- adi nowak › letra de passe - adi nowak
- the neighbors greg camp › letra de trouble with the curve [ost] - the neighbors & greg camp
- luke de sciscio › letra de the reeds - luke de-sciscio
- pop filter › letra de romance at the petrol station - pop filter
- boase_est › letra de throat - boase_est
- blackstarkids › letra de fight club - blackstarkids
- don everly › letra de so sad (to watch good love go bad) - don everly