letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de karne ya 30 - natty jerry brant

Loading...

intro :-
kilio usipotoa chozi sio kilio../
kisicho na uhaba wa simanzi ndo kilio../
kinachotoka chini ya ardhi mpaka mbingu../
kinachoomba nyingi radhi mpaka juu kwa mungu../
kilio kinachogusa mbingu ndani ya karne ya 30../
natty jerry brant,mfarisayo,de la p,lost poetry yeaah

verse 1 (natty jerry brant)-
ni kama ndoto ‘no’ dunia mapito../
watoto wa mungu tuko gizani../
tumeuacha utukufu wa nyota ing’aayo angani../
tunautafuta umaarufu kwa dini feki za kipagani../
ndani ya karne ya 30 dunia itakua jala jalalani../
ni ushetani na uhaini utakaotawala tu ubongoni../
kwa fikra hasi za wale makuhani watakaowezeshwa na shetani../
ndani ya karne ya 30 dini feki zitakua mezani../
maandiko hayatafanana na yale ya wazee wa zamani../
biblia za mtandaoni,ni mpango wa kishetani../
wa kupoteza biblia huru gizani../
macho yangu yatakonda kwa uchungu na huzuni../
kila mtu ni mchunga mwenye wito wa kichungaji ni nani../
mwenye cheo ni shoga flani, na ndio padri mwenye imani../ ukimuuliza atadai siku hazifanani../
hata casino ni ibadani,kanisani ni mbeshani../
na sadaka madhabauni mpaka condom kikapuni../
dunia itakua pepo ya makafiri,na pia ni jela kwa waumini ibadani../
maana ukweli utakua umefichwa kapuni

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...