letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de na nusu - nandy

Loading...

yogo on the beats
(the african princess)

shii! akichekecha nacheketua naye
bandua bwesa ninakesha naye
bingwa wa mitindo sio foreigner
dereva sio ulingo
inashika antenna oyee

ashanasa ulimbo, ulimbo
sibanduki ng’o
mi naye ngoma draw oyee

nakesha lindo, lindo
macho kwenye show
kuchakachua no, oyee

kaninogea (ooh inama inama)
koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama)
akipiga kick inatembea (ooh inama inama)
za ki china china za ki korea (ooh inama inama)

akipiga kick!

napunga kipopo kapaa kabana
nauminileva kama banana
nikiguza kitufe mambo mwanana
ulipopita we mbali we umeshona

baiko baikoko
kibao kata kanga moko
chikigiriki kimoko
nachora eeeh

nimeshanasa ulimbo, ulimbo
sibanduki ng’o
mi naye ngoma draw oyee

nakesha lindo, lindo
macho kwenye show
kuchekechua no, oyee

kaninogea (ooh inama inama)
koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama)
akipiga kick inatembea (ooh inama inama)
za ki china china za ki korea (ooh inama inama)

akipiga kick (na nusu)

na nusu, na nusu

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...