letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de asanteni kwa kuja - mwanafa

Loading...

choirmaster!
i’m in a building

asanteni kwa kuja, thanks for coming
coming, coming, coming, coming
asanteni kwa kuja, thanks for coming
coming, coming, coming, coming
he he, he he, he he, he he

shombo nyingi zaidi ya soko la samaki
ferry inangoja hata beberu hanipati
buheri wa afya, hofu juu yako
merci beaucoup, njoo uongee na cousin yako
naenda kazini wakati wanaenda vitandani
sio salama. sio salmini na silali ka vitani
hakuna imani kwa ma-snitch mwana
njoo na panga ukute shoka ka zamani zama
bastola na glasi ya vodka lazima kuwe na sadaka
madeni lazima yalipwe hata mdaiwa asipotaka
another day, another dollar (aa mi mchaga mwingine)
siku nyingine, hela nyingine
sio kicheche mwingine
asanteni kwa kuja, thanks for coming
coming, coming, coming, coming
asanteni kwa kuja, thanks for coming
coming, coming, coming, coming
he he, he he, he he, he he

hеre comes the bеat, here comes the beast
mother, i’m still the best
ukiniona kimya imani na mshindo una-trot
vita kwa vina money na auto in the bank
kama ipo itafika tu, spika za nini kachaa
mungu akitaka kukupa wala hakuandikii barua
we get money on the right things, and keep calm
wenye kelele wote sio kings, kuwa na nidhamu
tatizo la uongo ni kwamba milele haufiki mwisho
ka kiporo utatudanganya na kesho
malalamiko kibao ka mtoto wa kambo
kuruka ruka haijawahi kuwa dawa ya ulimbo

asanteni kwa kuja, thanks for coming
coming, coming, coming, coming
asanteni kwa kuja, thanks for coming
coming, coming, coming, coming
he he, he he, he he, he he

ilikuwa poa tu, ilikuwa love tu
ilikuwa safi kabla mkwanja hujaleta makuu
ilikuwa shega tu, ilikuwa peace tu
ulikuwa mzuka ghafla mkwanja ukaleta upuuzi
love iko mbali, chuki mwanzo mwisho bro
hata mi ni hater ka hunipendi hivyo hivyo bro
ulete ubwege na nikupende, mi ni yesu?
hakuna shavu la pili, toa wembe nitoe kisu
bado mshabiki mkubwa wa kazi ya mungu
ila kama nakuweza sikungoji nakupa kubwa w-ngu
life yangu movie, na mi ndo director
hata ukinielekeza sio kitu inakuwa extra
asanteni kwa kuja, thanks for coming
coming, coming, coming, coming
asanteni kwa kuja, thanks for coming
coming, coming, coming, coming
he he, he he, he he, he he

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...