letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de nafasi - music in me

Loading...

verse 1
nina hamu ladha naitamani
ya chako chumba nikilala ndani
nipate joto nisibaki baridi
na wajua yapo mengi ya kujik-mbusha
kwa hivo nipe nafasi
nikupe yako haki
mshtakiwa wewe jaji
unipe huk-mu langu kwa kesi hili
angalau nilale ndani

prechorus
nimengoja sana
wacha kujifanya
wajua vitu tutafanya
nile nanasi ukiukwea mn-z- baby
nimengoja sana
wacha kujifanya
wajua vitu tutafanya
nile nanasi ukiukwea mn-z- basi

chorus
nipe nafasi
chini ya mavazi
chini ya mavazi yako
nipe nafasi chini ya mavazi
chini ya mavazi
verse 2
asali wadondoa mdomoni
ulimi utamu ntachovya
kisha twende nikule jikoni
kuja nikupe yangu halua
utasema ooh aaah ooh aah
nikileta mvua mvua
na tena we wajua
vile waniua

prechorus
nimengoja sana
wacha kujifanya
wajua vitu tutafanya
nile nanasi ukiukwea mn-z- baby
nimengoja sana
wacha kujifanya
wajua vitu tutafanya
nile nanasi ukiukwea mn-z- basi

chorus
nipe nafasi
chini ya mavazi
chini ya mavazi yako
nipe nafasi chini ya mavazi
chini ya mavazi
verse 3
nimebanwa na haka
sina haja kutumia daraja kuvuka mapaja
sina haja kutumia daraja kuvuka mapaja
wacha nizame
ndani ndani ndani ndani
chini ya mavazi
ndani ndani ndani ndani
nile nanasi
ndani ndani ndani
nipe nafasi
ndani ndani ya penzi lako

outro
baby baby
nipe nafasi
nijaze nanasi
chini ya mavazi yako

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...