letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de mwache adange - msaga sumu

Loading...

hana mama wala baba mwenzio yulee x2
ana watoto watano
wanamtegemea
vyakula vyao kama shidaah
yeye uko peke yako
hakuna ya k-msaidia
muache adange x2
muache adange bwana
muache adange

nashangaa majirani
akitoka wanamsema
akirudi wanamsema
hawajui tabu anaiyopata yule
na watoto wake
hawajui shida anazopata yule
halafu familia yake

muache adange bwana x2
muacheni adangeni nini
muache adange

wala hana mume
hajawahi kuolewa kaachwa
wala hana mpenzi
ana watoto watano
kila mtu ana baba yake
hakuna k-msaidia
wengi wamemkimbia
mama shu….. wanamangalia ye

muache adange mama
muacheni adangeni jamaa
muacheni adangeni nini
jamaa adange

shule yao wanamangalia yeye
vuo vyako wanamangalia yeye
shule yao wanamangalia yeye
kwa nini asidange yeye?

acheni adange mama
we mama danga bwana
jamani danga mama
acheni adange mama

unawaambiwa kama kawaida kama kawa
iko………?…. watoto wa mjini
dar es salaam ugh! weee
_? juu juu juu
amezaliwa mjini vichochoro zote anavijua
mashaka yote anayaijua
maajira yote anayaijua
mishe mishe zote an-z-jua

acheni adange mama
jamaa adange bwana x2
acheni adange bwana

hana bibi wala babu mama yule
hana babu wala bibi wana mishe mishe
maisha yenyewe hana
we chukeni!
sikia habari ya mjini
____ni hapa
__kwa dj mdogo mdogo
onyesha uwezo

mama mishe mishe mihela hiyo
mishe mishe mihela hiyo x2

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...