letra de why - moh names
look
maisha ya mtaani sio rahisi kuona happy days
to make it out of the ghetto you gotta find a way
ukiwa mzembe unaweza usione msosi kwa plate
ndomana na hustle na ma n-ggas hakuna kucomplain
the way na make deals like pablo in the 80’s
uki elevate kidogo n-ggas hawapendi
watafanya wanavyoweza ili ubaki stendi
but i be dunkin on em’ you can call me kd (hunh)
mioyo safi hatuna roho za kukunja
ila ukileta ukuda brotherman hapa utadundwa
na ukijifanya nunda
tunakuachia walimwengu wenye hasira mbaya na miguu watakuvunja
maniga wanafki nishawajua
na kama you don’t see my call nishakupangua
i know you wanna see me fall nakaza kila hatua
mkiniona nina ball mnaugua yaani
why why why why why why why why why why
why why why why why why why why why why
why why why why why why why why why why
why why why why why why why why why why
puff mbili kwenye system
tunawaza jinsi ya kutoboa tuna big dreams
hii makiki makiki mwisho sikupokelei simu
na utauliza is it really him
n-z-ona pisi zinapagawa tu na maisha ya mitandao
ruti za dubai wanataka kuwa wao
bata zimefanya umemtelekeza mwanao
mwingine anashinda kwa wana hapataki kwao
i’m talking about these youngins, kuishi kama salmin
mn-gga mwenye black skin
inahitaji uwe na akili nyingi na kuelewa unachotaka kwenye maisha na love, you know what i mean
kila mjanja anaupiga mwingi mwingi, ila suala la msingi
tusikate ringi, tukawa mapimbi
tufanye vitu vingi kama noti na shilingi sio vuta nikuvute, tupate hata good day, nakaa nasema
why why why why why why why why why why
why why why why why why why why why why
why why why why why why why why why why
why why why why why why why why why why
letras aleatórias
- rogue half › letra de vultures - rogue half
- lethal v › letra de mathias - lethal v
- unknown artist › letra de crazy dnb - unknown artist
- kawa nanuk › letra de rainbow rocket - kawa nanuk
- the headpins › letra de feel it (feel my body) - the headpins
- psapp › letra de the well and the wall - psapp
- loser band › letra de i hate everyone - loser (band)
- l a g › letra de uncool - l.a.g
- luccas carlos › letra de me sinto bem (remix) - luccas carlos
- gregory the antichrist long jr bka og mxgul › letra de fallen souls - gregory “ the antichrist “ long jr bka og mxgul