letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de unga - michelle gatuiku

Loading...

miezi mbili tatu
sijaona watu w-ngu
jijini siwezi toka

uhuru kafunga border
na kati si wawili
sij-pata lo riziki
nalazimika kuomba
ndio watoto wapate unga

mpesa haingii
na landlord hasikii
nakosa matumaini

i’m going home
maswali mbele nyuma
polisi haramu
narudi nyumbani natoroka risasi
i’m going home
maswali mbele nyuma
nipeni jawabu
narudi nyumbani
nairobi mi siwezani

wiki yote mi gizani
bila hela mashinani
saidia mshumaa
niweze kuona
ndugu kaendelea kuhangaika
na kiongozi kaendelea kushughulika
na katiba isiyo kosa ni kutafuta
miaka nenda miaka rudi kutajirika

na kama ni kuomba nitaomba sitasita pole pole ndio mwendo
mwenda tezi na omo

i’m going home
maswali mbele nyuma
polisi haramu
narudi nyumbani
natoroka risasi
i’m going home
maswali mbele nyuma
nipeni jawabu
narudi nyumbani
nairobi mi siwezani
narudi nyumbani
nairobi mi siwezani

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...