letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de 01. ananitazama - mic gower

Loading...

[intro: g van]
ananitazama
ananitazama
ananitazama yeyee!
ananitazama yeyeeee.. heeey

[mic gower]
yeaah, its yo boy mic gower here
najua watu wanapitia mambo magumu sana
its the same here

[verse 1 : mic gower]
maisha ni mzungunguko, navyoishi mi mtumishi
hata nikifa leo, najua sauti itaishi
mambo mengi weka kando, dhambi ikiwa namba one
nilikua nimejawa kiburi, sasa mwanaharakati

nilivyokua mdogo sikujua mema wala baya
kila kitu kwangu nilichofanya niliona sawa
wazazi walinisihi nisijiunge na wabaya
nikapuuza, weka kando yangu yaende sawa

wazaz walibana, nisifanye nachotaka
kuruka ukuta,yote ujinga,na walinzi niliwalipa
nako church, neno zuri nilisikia
okoka, okoka, ndizo stry nilizopewa

nika apa, sitorudi tena kuzisikia
wavuta bangi, na kamali, nikawaona kama wana
kanisa kwa kubanwa, nikaona kama chupa
na ushauri washikaj zangu, ni ibada kama kawa

[chorus: g van]
maisha bila wewe nisingekua hivi
nashukuru jehova umenitoa mbali
i thank you, unanitazama
i thank you, jehova
i thank you, unanitazama
i thank you, jehova…yaah yaah

[verse 2: mic gower]
maisha yalikua hayana mbele wala nyuma
wazazi wangu walijitahidi kuniombea na kufunga
ndugu zangu, walinisusa nikaonekana kama sifai
hapo ndo nikatambua, there are is many rooms kwa dady

kuna vita kati yangu, kati ya mungu na shetani
na ilikua juu yangu, kati ya maombi na utani
nadhani, najua huwez, mi, kuni understand
na hii ni stroy ya kweli, na si utani

nimekua mtu mzima , mawazo yametanuka
baba yangu still anaomba, anadhani amenikosa
nikasema nimetubu, shetani amenikosa
na yesu kwangu ndo mwamba, kwa mwovu amenitoa

amebadilishwa nimekua, mtu mwingine
na si, aliepotea kwa muovu, pengine
nimeokoka naendelea kushika mistari mingine
na yesu anaokoa mitaa, kila kona ya mitaa

[chorus: g van]
maisha bila wewe nisingekua hivi
nashukuru jehova umenitoa mbali
i thank you, unanitazama
i thank you, jehova
i thank you, unanitazama
i thank you, jehova…yaah yaah

maisha bila wewe nisingekua hivi
nashukuru jehova umenitoa mbali
i thank you, unanitazama
i thank you, jehova
i thank you, unanitazama
i thank you, jehova…yaah yaah

[outro g van]
ooowh, ooowwh, ooowh
heeey, heeey heeey, halleluyah!

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...