letras.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

letra de eldoret rap kings - mc spook and omondi ochuka

Loading...

verse 1[omondi ochuka]

mvua ikiangukia inscriptions kwa garden
constellations na sticker za amniotic tape
coded bars, me hu-feel ni ka universe ilimbau kwa hii pen
niko juu ya script
so vitu verbal, methali zita-narrate
onion bulbs, nawacha film na tears ziko darkened
idea kwangu ni clinical
so najichanja ulimi na mind
time kifuniko ya jeneza ikizibwa at night
wino inagather bahari na stars pamoja na light
conditional future
mikono ziliandikwa na forbidden gaps
hesabu za body ni sahini insha haziwezifichua
kila nikitazama space
nawacha voids na riddle ziko broken
voids -ssulym, excursions maneno yanaanzia novel
msuko? lonliness iko deserted kwa kisima haikuchimbwa
nahitaji kudunga hii verse ball
kabla macho na hidden thoughts kutazama platform
rong bondia na haramia, ma-mermaid na piracy symbols
hii spit ni delicate fires
vyumba vya maiti utapata doggy na vichwa tatu kwa gate
nakariri geometry ya usiku zilizikwa na gradient
hekaya za aliyepoteza kichwa kama johnny the baptist
after death, uliza poetry ya christina rossetti
booth iko paged, nangoja moaning nyuma ya curtains zikiwa half-drawn
nafinya alfabeti vibaya, dialogues zinavuja kama fikra nikira ikitazama porn

wudz

|hook|
still born
baado tuna-decipher inspiration kwa dome
stillborn
baado tuna-deliver message ilifichwa kwa envelope
hoping siku moja tutazaliwa once more

verse 2|mc spook|

hizi ni ideas ziko stillborn
knowledge not yet torn
voices hujawahiskiza ona song
k-mbuk-mbu za torati zilimispeliwa kwa hotuba
shairi zenye zimepotea kwa hotuba
hizi ni maarifa ndani ya damu nyeusi
ziliniacha na arudhi kwa shairi nikikariri
nafufua zaburi zilianguka kwa deaf ears
kalamu zetu
ziko poisoned
pictures zili-worth a thousand words
hizi ni taswira tunajenga
mentalities zetu zili-evaporate kwa mtaa
kutafuna ukweli nilivunja ukweli kwa vitabu za hitoria
bahati yangu ilikuwa k-mwandikia mungu barua
kwa vitabu vya maisha
tulichambua vitu nyingi
upendo na sahani ya agony
tulizaliwa kwa dunia ya mviringo
penye fallen angels waliangushwa juu ya maringo
beauty ni inborn sio kukata shingo
spirit yangu ni inborn sio historia na bayolojia
hakuna siku
kama hamwahikuwa nice natema tembe na visu kwa msitu ya akili mlikata na visu

outro

|wudz|

cl-ssic…
yaw…
still born bado na’exhale life-force kwa lungs
still born bado nascript code ya ku’save ma’thugs
born a king, lakini naishi ka mtumwa
na si ati niliacha mila but nilisuk-mwa
i was born wise
but school taught me otherwise
future ni uncertain ka fate ya stillborn
valley ya shadow of death imejaa cable ya silicon

letras aleatórias

MAIS ACESSADOS

Loading...